h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,532
- 3,316
Wasalaam wana tech,
Naomba niitambulishe nyuzi hii hapa jukwaani, itakuwa msaada mkubwa kwa vijana wanaosomea fani mbalimbali za uhandisi, na hata wale wasiosomea bali hupenda kujifunza zaidi. Uamuzi wa kufungua nyuzi umekuja baada ya kutoona mijadala yoyote inayohusu Engineering projects, sana sana huwa naona post watu wanaulizia tu natafuta microcontroler siju natafuta nini?
Bila shaka uzi huu utaunganisha vijana kutoka UDSM COET, SJUIT, ATC, DIT, MUST, UDOM , VETA na vingine ambavyo sikuvitaja, muhimu ni kupeana uzoefu, ujuzi naamini kila mtu kuna kitu ana jua ambacho kitakuwa ni mchango mkubwa kwa wengine.
Dhumuni kuu:
Dhumuni kuu ni kuwasaidia wenye huitaji, hitaji linaweza kuwa taarifa, ujuzi na namna. Tunajua kila mwaka wa mwisho wanafunzi wanaosomea fani za uhandisi, wanatakiwa kufanya projects mbali mbaliz zinazohusiana na walichojifunza miaka 4 au 3 vyuoni kwao, sasa ni nafasi nzuri kwa wao kupata uzoefu kutoka kwa wakongwe najua wapo wengi humu.
Programmes:
ELECTRICAL ENGINEERING
ELECTRONICS & TELECOMMUNICATION ENGINEERING
COMPUTER SCIENCE ENGINEERING
MECHANICAL ENGINEERING
MECHATRONICS ENGINEERING
CIVIL ENGINEERING
Uzi ni kwa kwa ajili ya watu wa level zote hamna ubaguzi, uwe unasomea Certificate, Diploma au Bachelor degree au hata kama hujasomoa ila una uhitaji, mnakaribishwa kwa michango, mawazo, maswali, na kusaidiana kwa namna yoyote.
Karibuni sana.
Baadhi wadau wa electronics, electrical & computer najua watatoa misaada kwa wageni kwa moyo mkunjufu, hawa ni baadhi tu ila wapo wengi humu alpha1 wicalumtata Transistor Graph na wengine wengi.