midadi hile ha ha ha haDunga duh! naye anapiga kichwa eti....
Mpira dk 90 we subili uone US watakavyofanya vitu.US wameanza kupotea kabisa hahahahaha
Naona Zuma nae kajichanganya mpirani, mechi ya pili mfululizo hii. Viongozi wa Kiafrika hawako busy, hawana media pressure, hawana credible opposition ya kuwaambia, Zuma jionyeshe uko busy kidogo, nchi yako ishatolewa, unaenda kuangalia USA na Brazil kwenye kombe la mbuzi la FIFA Confedertion, come on.