Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

huyu mtangazaji kwenye runinga tangu (super sport) ni mnazi wa brazil ile mbaya
 
Naona US pressure ishaanza kupanda, tuone nani anaperform better under pressure (so far Brazil wameonyesha wanaweza).
 
Naona Zuma nae kajichanganya mpirani, mechi ya pili mfululizo hii. Viongozi wa Kiafrika hawako busy, hawana media pressure, hawana credible opposition ya kuwaambia, Zuma jionyeshe uko busy kidogo, nchi yako ishatolewa, unaenda kuangalia USA na Brazil kwenye kombe la mbuzi la FIFA Confedertion, come on.
 
Toka football linaanza kuchezwa duniani, USA haijawahi kuifunga Brazil hata kutoka sare katika mashindano yeyote yale.
 
Naona Zuma nae kajichanganya mpirani, mechi ya pili mfululizo hii. Viongozi wa Kiafrika hawako busy, hawana media pressure, hawana credible opposition ya kuwaambia, Zuma jionyeshe uko busy kidogo, nchi yako ishatolewa, unaenda kuangalia USA na Brazil kwenye kombe la mbuzi la FIFA Confedertion, come on.

Si leo jumapili na wewe..aaaah...wewe kila kitu uko negative tu...geeeez
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom