Uzi wa mafanikio ya Pele, Màradona, Messi na Ronaldinho Gaucho

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Uzi maalumu wa kulinganisha mafanikio
Ya wakongwe hawa
1.Pele
2.Maradona
3.Ronaldinho
4. Messi

Wingi wa makombe
Pele 36
Messi 25
Gaucho 18
Màradona 12

Kwa upande wa makombe makubwa yenye hadhi za juu
Pele ameonekana kuwa juu Sana Kwa kuwa na world cup 3 , na mengine yenye uzito kama Copa America,

Amefuatia Ronaldinho Gaucho Kwa kuwa na kombe la Dunia moja na Uefa 1 , Copa America 2 na Confederation cup 1, FIFA u 17 world cup,

Anafuatia Màradona ana World Cup moja na Copa America 2,

Messi ana Uefa Nyingi na akipata world cup 2018 pale Russia Ata surpass rekodi za wenzake Baadhi,

Kwa Upande wa Kuchezea Mpira Uwanjani kila mmoja ana mtazamo wake , kuwapa Raha watazamaji

Ila Salute yangu inaanza Kwa
1. Ronaldinho Gaucho
2. Messi
3. Màradona
4. Pele

Kwa Uhamasishaji na Uwajibikaji Uwanjani kama kiongozi na kuleta ushindi Kwa Hali na Mali

1. Pele
2. Messi
3 Ronaldinho Gaucho
4. Màradona

Mchezaji Bora wa Muda wote ni PELE,

TUPITIE RECORD ZAO WOTE

PELE

images (2).jpeg

International
Brazil
Club
Santos
New York Cosmos
Individual
In December 2000, Pelé and Maradona shared the prize of FIFA Player of the Century by FIFA.[147] The award was originally intended to be based upon votes in a web poll, but after it became apparent that it favoured Diego Maradona, many observers complained that the Internet nature of the poll would have meant a skewed demographic of younger fans who would have seen Maradona play, but not Pelé. FIFA then appointed a "Family of Football" committee of FIFA members to decide the winner of the award together with the votes of the readers of the FIFA Magazine. The committee chose Pelé. Since Maradona was winning the Internet poll, however, it was decided he and Pelé should share the award.[148]
Personal records

MÀRADONA
unnamed (1).jpg

Club
Boca Juniors
Barcelona
Napoli
International
Argentina Youth
Argentina
Individual
RONALDINHO GAUCHO
images (4).jpeg

Club
Paris Saint-Germain
Barcelona
Milan[159]
Atlético Mineiro
International
Brazil[160]
Individual

MESSI
images (5).jpeg

Club
Barcelona[453][454]
International
Argentina
Individual
Awards
 
***** Uzi huu ungekuwa kwa kingereza usingekanyaga ulaya milele, maana unewataja bara la American kusini tu, hapo Ronaldo na Zidane wanaumiaaa
 
Ungemuweka mungu wa modern football cristiano ronaldo tungeenda sawa... Otherwise huu uzi hauna ladha kamili!!!
1275f0ed3242bcc0f73036f3de040070.jpg
 
Ungemuweka mungu wa modern football cristiano ronaldo tungeenda sawa... Otherwise huu uzi hauna ladha kamili!!!
1275f0ed3242bcc0f73036f3de040070.jpg
Mungu Kwa lipi lipi huyu,
Ana nini Uefa 3 , messi 5
Ligi kombe 6 Ronaldo 2
Ballon Dor 5 Ronaldo 4
Copa America 2, Ronaldo Euro 1
 
Metasaka na Podolski kila mmoja anamzidi Messi,CR7. Kisa wao wamechukua World cup.
Ndo maana hawajatwa, maana world cup si kigezo pekee, maana kuna watu kama Ronaldo de Lima wana makombe mawili ya dunia ,lakin hawamfikii mara Dona mwenye moja, au Gaucho mwenye moja, Tunaangalia na Extra miles
 
Kati ya Maradona na Messi ni nani uko tayari kumsajili kwenye timu yako. Assume Messi at his peak na Maradona katika peak take.
 
Kati ya Maradona na Messi ni nani uko tayari kumsajili kwenye timu yako. Assume Messi at his peak na Maradona katika peak take.
Kwanza kaa ukijua inategemea unamsajili Kwa malengo gani,
Tunasajili kulingana na yafuatayo
1. Aina ya wachezaji watakao mzunguka
2. Aina ya mashindano kama ni ya muda mfupi kama kombe la dunia namsajili màradona, kama ni ligi namchukua messi
3. Kama wachezaji ni aina ya Bundesliga namchukua Màradona, kama ni lege lege kama Hispania na Ufaransa, Messi anafaa Sana, haitaji mipira ya nguvu mno, si kama màradona,
4. Kama Nina Nina ya ushindani na ushindi unaotaka uhamasishaji wa mmoja wapo Kati ya Messi au màradona, namchukua Màradona,
 
Messi hana nguvu lakini amefidia kwenye flexibility na mbinu. Ili uchukue Moira ni kwa asilimia kubwa umchezee faulo.

Kwa taarifa 2014 world cup Messi alifunga goal 4 kati ya magoli yote 7 ya Argentina. Kama 57% ya magoli. Hao wengine ndio wamegawana hayo matatu akina Aguero. Messi mfungaji bora was Muda wote wa Argentina kama 61 goals linganisha na 34 ya maradona. Namaanisha Messi ana mchango mkubwa Argentina kuliko Barca tatizo wengine wenye majina makubwa hawakazi wakijua mambo yakienda mrama mzigo kwa Messi.

Ni mashondano gani Messi amechangia zaidi ya 57% ya magoli ya Barca kwenye mashindano yoyote?

CR7 na magoli yake 3 EURO 2016 ameshinda kombe mwisho twahesabu ameipa ubingwa nchi yake.

Watu tunasahau sana nguvu ya wachangiaji wengine katika kuipa timu ubingwa. CR7 ni ndoto kuchukua world cup kutokana na uwezo mdogo was wenzie. Sasa tutasema CR7 so chochote kiss hachukui WORLD CUP.

Tukiangalia uwezo wa mtu tuangalie alichofanya yeye. Sio timu. Kwa vile timu kushinda ni mjumuiko.

Halafu ukitaka jua ubora wa akina Pele usiangalie Highlights ambazo Mara nyingi huweka mambo matamu Tu. Ukiwekewa Highlits za Bendtner utamtukana Wenger kwa kumuacha.
 
Kwani Messi atachukua??
 
Naiombea Argentina ibebe ndoo jamani, huu ni wakati wake. Ni timu inayopendwa sana duniani na wachezaji wake kwa ujumla kama vile Messi Dybala and De Maria.
 
Back
Top Bottom