Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Hahahaha unadhani Sevilla hawakujua ana umuhimu kama alivyo sasa?

Nadhani anastahili kuja Chelsea kujiunga na "The Blues"

he he hehe.... kijana amependwa sana. Nadhani agents wa timu mbalimbali wanaona.
 
Lile goli lakini....... Refa anambabaikia Obama...nimestukia, anataka kualikwa moja ya White House parties....:):):)
 
yani linesman anaweza kuona kona lakini kashindwa kuona hile? blatter ndio wanaktaa replay sema inaweza kufanywa tu na watu wa benchi na wakawasiliana na refa haraka haraka kiasi cha kwamba mda utaokolewa.
 
FIFA wajinga sana...utakataaje instant replay...huyu Blatter inabidi aondolewe huy...awekwe mtu mwenye mawazo mapya anayekwenda na wakati
 
Kuna mdingi hapo ana-pullneck nyeusi noma kweli jamaa, aliwaua SA hivi hivi.
 
Najua watu wengi mbet kwa Brazil...pressure zinapanda pressure zinashuka, na Howard ndio anatuwekea kauzibe kazi kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom