Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Ebanaeeeeee

Almost USA waandike la pili...

Mpira unachekesha sana huu...
 
Mnakumbuka kwenye CONCAF ya mwaka juzi, US alimfunga Brazil. Huyu Dunga naona ukocha wake nao unasuasua na wakifungwa leo kibarua chake kitakuwa hatarini.
 
Mkuu, unajua USA wanavyocheza ni kama ngumu kuelewa wanaweza kushinda, wanaenda kama utani vile...

Anything can happen, ngoja tuangalie. Ila inaonesha Brazil wanaanza kushangaa kinachoendelea, hawakutarajia kufungwa mapema?
 
Hehehe, wametumia resources zao kuwastudy ma-opponents wao. Ila kuna uwezekano wa US kupata kadi nyekundu na wasipoangalia huyu Bocanegra ndio atakuwa victim.

Brazil wakishangaa shangaa watapigwa la pili na ndio itakuwa mwisho.
 
Dakika ya 24 inakwenda...

Brazil 0 - USA 1

Goli la USA lilifungwa na Dempsey dakika ya 10
 
Hehehe, wametumia resources zao kuwastudy ma-opponents wao. Ila kuna uwezekano wa US kupata kadi nyekundu na wasipoangalia huyu Bocanegra ndio atakuwa victim.

Brazil wakishangaa shangaa watapigwa la pili na ndio itakuwa mwisho.
Naona Felipe Melo kapata Yellow Card...

Huyu jamaa ni mkali, anaonekana kuwa hatari kwenye kuzifumania nyavu kwa upande wa Brazil.

Brazil wamepata kona nyingine
 
Hehehe, wametumia resources zao kuwastudy ma-opponents wao. Ila kuna uwezekano wa US kupata kadi nyekundu na wasipoangalia huyu Bocanegra ndio atakuwa victim.

Brazil wakishangaa shangaa watapigwa la pili na ndio itakuwa mwisho.
Ni kweli usa wana kadi za njano 2 na wanashambuliwa lakini wamefunga goli la 2
 
Hapana... Hii ni kali ya 2009 katika soka...

US wanacheza mchezo ambao ni ngumu kuwatabiri mkuu

Kuwapenda kwangu kote Brazil sidhani kama watasawazisha, mechi ndio ishaisha hii hahaha warudi wakacheze samba.
 
Watasawazisha mkuu, lakini wajifunze kuwa kwenye mpira usimdharau yeyote hasa katika finals kama hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom