Search kwenye google, utapata list ndefu ya hizo movies... Pia nakushauri katafute movie ya 24 hours drama series, season 1-8, utainjoi sana.
Mr. been (John English reborn)
E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu
THE DEVEL'S ALTERNATIVE by Frederick Forsyth....... mkuu umenikumbusha mbali sana
Taken (2009), Munich (2004), Man on Fire (2005), The Debt(2010), Colombiana (2011),
Jasusi ninavyojua mimi ni SPY, kwahiyo inatakiwa filamu ya kipelelezi hapa, inaweza kuwa syndicate lakini pia mauaji yanayohusisha wanasiasa au maaskari zinakuwa na matokeo mazuri sana ya upelelezi...nafurahia sana inapohusisha forensic pia. Hebu angalia ...The Man, The Setup, the Tourist. ngoja nikutafutie nyingine
Tatizo hazina ubora unaweza ukanunua na wakati mamii amekuletea juice bariidi na popcorn huku mzee ukijiandaa kuburudika kuangalia picha kabala hata hujakalia sofa utasikia kwa kwa kwaaaaa ndio kwishney,nyingi zinakwama ni bora utafute wadau wanaoshusha picha kutoka kwa mtandao ,hizo ziko poa wengine wanauzaga humu pamoja na External HDHizi MOVIE za kijasusi naweza kuzipata kwa hawa wauza CD wa barabarani?
Hizo ndio movie za ukweli kaka,kama alivyoulizaTafuta hizi...
1.Mission impossible ghost protocol.
2.Safe house.
3.Haywire
4.contraband
5.Lockout
6.Act of valor
7.I am number four
8.Law abiding citizen
9.Unthinkable
10.body of lies
11.The death and life of bobby z.
hizo zimetulia sana....japo sio zote za ki spy spy....
aisee huyu dogo ni noma'' i told you what i want if you dont want to teach me fine'' alimwambia anko wake..........afu napenda pale alipojifanya mlevi mpaka anaburuzwa kupelekwa polisi.,,,huyo ndiyo musika mkuu,,binti toka Bogota..hataki elimu anataka kujifunza silaha...anaambiwa bila elimu huwezi kufanya tukio la akili...hahahahahaa...Colombiana