Fiesta marufuku Mbeya- Sugu

Ni mwendelezo wa Beef lililoanza siku nyingi kabla ya sugu kuwa MB....
Clouds walipiga marafuku kupiga nyimbo za Sugu baada ya kuwa na msimamno juu ya utukishwaji wa wasanii katika matamasha kama hayo amabyo wasanii walikuwa wanalipwa kiduchu.

Kwa mtazamo wangu, Sugu amerudisha kisasi kwa kutumia rungu alilo nalo kitu ambacho si kizuri kama mtawala othewise anaonesha weakness katika upeo wake wa kiutawala.
 
Acha ujinga wako, huna kitu, hakuna jimbo litakalopotea hapa
Sugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...

Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!
 
Sugu kaandika hivi kwenye wall yake ya facebook:


''‎...Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA,kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!''
 
Sugu kaandika hivi kwenye wall yake ya facebook:


''‎...Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA,kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!''

who is we?
 
Sugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!
hopefull wewe magamba au mfanyakaz wa clouds mnaojifagilia kwa rais kama ni rais wa clous peke yenu na sio wawa Tz
 
Fiesta haina mana yoyote kwa wananchi na wasanii,kwani wananufaika niwo clouds hta sehemu moja hawajajenga studio yoyote ya kuwasaidia wasanii,na muda mrefu wamekuwa wakifanyia vitina SUGU,kutopiga nyimbo zake studio,kumuibia mchongo mzima wa malaria haikubaliki,na kumfanyia fitina asipate ubunge,ila kwasababu SUNGU ni mpiganaji alishinda kwa kishindo mara mbili ya mpinzani wa CCM,SUGU ni RAIS wa mbeya nadhani nyie wenyewe mnajua hilo.
 
ni mwendelezo wa beef lililoanza siku nyingi kabla ya sugu kuwa mb....clouds walipiga marafuku kupiga nyimbo za sugu baada ya kuwa na msimamno juu ya utukishwaji wa wasanii katika matamasha kama hayo amabyo wasanii walikuwa wanalipwa kiduchu.kwa mtazamo wangu, sugu amerudisha kisasi kwa kutumia rungu alilo nalo kitu ambacho si kizuri kama mtawala othewise anaonesha weakness katika upeo wake wa kiutawala.
vp wanawalipa vizuri siku hizi? Watanzania tutaanza kuendelea kama tutaacha kuabudu fedha na kufanya ya msingi kwa maendeleo!
 
kwa mtazamo wangu najua Sugu ni msanii na anelewa analofanya. ni vizuri tuache ushabiki wa simba na yanga..tujiulize ni kwanini amesema haina manufaa kwa wasanii? kama wewe ni msanii na unamanufaa nayo tupe faida zake. Toka imeanza umepata nini?
Ni mtazamo tu wakuu..
 
Safi sana Sugu, watoe baruti masharobaro hao waliokalia kuuza sura tu kwenye mjengo wao. Hao jamaa wanajua kuambukiza ngoma tu, kiredio chenyewe nasikia Rostam ameshakinunua na anataka akiuze kwa wachina. Baada ya hapo sijui watauzia wapi nyago zao, pambaff
 
Ni mwendelezo wa Beef lililoanza siku nyingi kabla ya sugu kuwa MB....
Clouds walipiga marafuku kupiga nyimbo za Sugu baada ya kuwa na msimamno juu ya utukishwaji wa wasanii katika matamasha kama hayo amabyo wasanii walikuwa wanalipwa kiduchu.

Kwa mtazamo wangu, Sugu amerudisha kisasi kwa kutumia rungu alilo nalo kitu ambacho si kizuri kama mtawala othewise anaonesha weakness katika upeo wake wa kiutawala.

Hana Rungu lolote. Kwani yeye ni serikali (Dola)?
 
Jamani wadau!
Hili jambo inabidi tulitazame kwa umakini, nini lengo hasa la Sugu kupiga marufuku FIESTA mkoani Mbeya hapo tukipata majibu inakuwa ni rahisi kuchambua hizo hoja za Sugu.
Pili, FIESTA inamfaidisha nini msanii wa eneo husika maana mimi ninachoona hawa jamaa huwa wanazunguka na wasanii wao kila mahali wanapokwenda, inawezekna Sugu kaliona hiki na kwa kuwa kakaa kwenye gemu muda mrefu anajua nini kinachoendela...
Ifikie sehemu hawa waandaji wa hili tamasha wawe ni nia thabiti ya kuinua vipaji vya maeneo husika sio kuzungumka na wasanii ambao ni maarufu kila sehemu, na ingependeza wangefanya kwa mtindo wa BSS hapa itakuza sana vipaji kwa vijana na itaongeza ajira zaidi.
MIMI BADO SIJAPATA SABABU KWANINI SUGU KAPIGA MARUFUKU HILO TAMASHA LA FIESTA, MLIO KARIBU NAE MNAWEZA KUMUULIZA Na KUTUJUZA
 
Wakati wa ufunguzi, waziri alikuwepo na alitoa hotoba kwa niaba ya serikali, kwamba fiesta msimu huu inasaidia kutoa ajira za mda mfupi kwa vijana.

Sasa kati ya Sugu na waziri nani ni bosi?
 
mmm mbunge yule . Ana haki ya kusemea lolote jimboni kwake
Kwa hiyo hata kama akitaka Mbeya wafe.........basi wafe tu ...kwa vile kasema SUGU ...... mbunge.............!! ANA HAKI YA KUSEMA LOLOTE LENYE TIJA................. kwa mtazamo huu anajimaliza mwenyewe................
 
Dawa sio kupiga FIESTA marufuku, bali kurekebisha uwe inasaidia wakazi/vijana wa mkoa husika.
 
Back
Top Bottom