Fedha za Rada kununua madawati Nchi nzima

14[SUP]th[/SUP] March, 2012
Press Release
_________________________________________________________


BAE payment is coming to Tanzania to buy textbooks and desks

The Memorandum of Understanding between the Government of Tanzania, BAE Systems, the UK’s Serious Fraud Office and the Department for International Development (DFID) has today been signed by all parties. The signing of the agreement means the £29.5 million, plus accrued interest, can now be released from BAE Systems to the Bank of Tanzania. This is being done following a settlement between BAE Systems and the UK’s Serious Fraud Office.

The UK and Tanzania have worked together to decide what the money should be used for and how it will be delivered and monitored to ensure the funds are used effectively. It was agreed that funds be used for the education sector.

Textbooks will be purchased for all 16,000 primary schools in the country. About 8.3 million children will benefit from these textbooks which will cover all 11 subjects in Standards 1 to 7. Emphasis will be placed on the key subjects of Kiswahili, English, Maths and Science where one textbook will be shared between every two children. The exact number of textbooks to be purchased is still to be negotiated, and to ensure the best value for money, it will be finalised as part of the procurement process. For this reason, the annexes of the MOU will not be made public until after the procurement process is completed in May 2012.

Having a textbook alone will not improve the quality of education, however. These funds will also be used to provide all 175,000 primary school teachers with teachers’ guides, syllabi and syllabi guides to help improve their teaching skills. Up to £5 million will be spent on the purchase of desks and will benefit primary school children living in the nine districts where the need is greatest. The availability of these materials will support the Government of Tanzania’s priority of improving education quality in primary schools.

The entire process will be rigorously and independently monitored and audited on behalf of the four signatories to ensure the money is used solely for the benefit of the Tanzanian people.


ENDS
_____________________



For more information, please contact:
Eunice Urio, DFID Tanzania’s Information Advisor, at e-urio@dfid.gov.uk or 211-0141
 
Hii ilkuwa chenji ya Ben na Chenge..Tanzania yetu ipo siku itasimama...
 
Kampuni ya kuuza vifaa vya kijeshi ya BAE Systems itatoa takriban £29.5m kwa miradi ya elimu nchini humo kufuatia makubaliano na Taasisi ya Kupambana na ufisadi ya Uingereza (SFO). BAE ilipigwa faini ya £500,000 mwaka 2010 kwa kushindwa kutunza rekodi zake za malipo iliyofanya kwa mshauri wake.


Malipo hayo yalitolewa kununua rada ya kijeshi kwaTanzaniakwa gharama ya £28m. Kampuni hiyo ya BAE sasa imethibitisha makubaliano ambayo yatatumika kusaidia watanzaniakamailivyoafikiwa. Itanunua vitabu vya kiada kwa shule 16,000 vya masomo muhimu ya Kiswahli, Kiingereza, Hisabati na Sayansi. Fedha hizo pia zitatumika kuwapatia miongozo walimu na mwongozo wa muhtasari wa masomo kwa waalimu wote 175,000 wa shule za msingi, na muhtasari yenyewe, kampuni hiyo ya ulinzi imesema.


Taasisi ya SFO ilisema makubaliano hayo yalikuwa ya kwanza na ya aina yake, lakini ilikosolewa na jaji aliyetoa uamuzi wake kwa kampuni hiyo miaka miwili iliyopita. "Makubaliano haya ni ya kwanza kwa SFO ambayo iliratibu kutumia mfumo wa sheria za Uingereza,’ mkurugenzi wa SFO Richard Alderman alisema.

'hatma ya jambo lenyewe'

"Tumefurahi kuwa hatimaye tumefikia mahali tunaweza kutoa malipo kwa serikali yaTanzaniana kufikia tamati ya suala hili." BAE ilisema.
BAE iliafikiana na SFO mpango huo mwaka 2010. Ilikubali kulipa faini ya na gharama ya £225,000 kwa SFO – na faini ilikokotolewa kutoka £30m iliyotoa kwa watanzania kumaliza kesi hiyo.
Wakati huo jaji wa mahakama ya Southwark Crown alikosoa makubaliano hayo kati ya SFO na BAE.
"Muundo wa makubaliano hayo unaweka shinikizo la kimaadili kwa mahakama kuifanya faini hiyo iwe kwenye kiwango cha chini kwa ajili ya maandalizi ya juu. " alisema Justice Bean, aliyeongeza kuwa alikuwa kwenye shinikizo la kuiweka faini ya mahakama kuwa ya chini.
Pia alikosoa sehemu nyingine ya makubaliano ambayo alisema yalimpa mjumbe yeyote wa kampuni ya BAE Systems "kinga kwa makosa yote yaliyofanywa nyuma yawe yamewekwa wazi au la".
Kampuni hiyo ililipa £7.7m kwa kampuni mbili zinazomilikiwa na mfanyabiashara Shailesh Vithlani kabla hata ya kushinda zabuni yenyewe ya kununua rada.

source: BBC
 
Safi. Hizo hela mkulu alikuwa ameshazipangia bajeti ya kwenda mwezini (kikazi). Nahisi ndo sehemu aliyobakisha mpaka sasa. Uko kote ameshateleza
 
IMG_0559.JPG

Sijui hawa wakiongozwa na kihelehele Kazi ndungehai au nichome wapi walikwenda kufanya nini? Wizi tu, walitaka wazile tena na hizi.
 
Afadhali maana wabongo walivyo na fikra za kiwiziwizi muda wote wangezipiga kabla hajizafanya kazi iliyodhamiriwa.
 
Nasubiri madawati kupanda bei, kesho tutaambiwa damati moja limenunuliwa tsh. 500,000.
 
Back
Top Bottom