Mkuu umemsahau RITZFF, MS na REJEO huwa hawachangii kwenye thread kama hizi. Back to topic... JK acha urafiki katika haya. Ni ngumu sana kufanya maamuzi magumu kwa marafiki
Kichwa nazi kama MWENYEKITI WAKE.Mimi huwa najiuliza, hivi kwa nini ndugu yet Malaria Sugu huwa hachangii thread hizi za wizi?
Huwa hayaoni hayo maovu yanayofanywa na chama chake? Au ni kichwa cha nazi tu -- shule ndiyo tatizo kubwa?
KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mwingine wa mabilioni ya fedha kwenye marejesho ya zile zilizochotwa awali kifisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).
Fedha hizo zaidi ya Sh50 bilioni zilizorejeshwa na Rais Jakaya Kikwete kutangaza kuwa zitatumika kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kilimo nchini, zinadaiwa kuchotwa kwenye Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) kwa amri iliyotoka kwa vigogo serikalini.
Sikujuaga kwamba Simon group iliyozawadiwa UDA kuwa ni Wakulima wakubwa hapa nchini.
Kweli Kilimo kwanza!
tusilalamike wakubwa kumbuken kuwa mkulo na allishasema kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake,ingawa ndani yaa moyo wake alikuwa ana maana ya kuwa mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.mtalalamika sana watu wanendelea kula kuku,cha kufanya ni kuchukua hatua 2,that is only the right solution.
Mie nilivyoangalia Management structure ya TIB nikajua hapa genge la mafisadi limekamata benki hii. Kiufupi mafisadi ni sumu na janga la kitaifa. Kuwaondoa tunahitaji watanzania tuwe kama wamisri lolote liwalo na liwe. Mafisadi wamejiweka kila kitengo ni wananchi pekee ndio watakaoweza kuwaondoa madarakani. Mifano halisi ni hii.
Mheshimiwa Zitto nakuona hapo chini nataraji unaendelea vizuri kamanda tunakuombea mmungu subhanawataala akupe uzima na afya urudi tupambane na hii mijamaa inatisha!!!
Mr. Peter Noni | Managing Director |
Mr. Thomas M. F. Samkyi | Head of Business Development & Appraisal +255 22 2411111 |
Mr. Bernard P. Mono | Head of Treasury & Funding +255 22 2411112 |
Mr. Bahati J. Sanga | Head of Information & Communication Technology +255 22 2411099 |
Mr. Leonard O. Mlewa | Head of Portfolio Management +255 22 2411110 |
Mrs. Stella M. Nghambi | Head of Human Resources & Administration +255 22 2411096 |
Ms. Martha J.J. Maeda | Legal Counsel & Secretary to the Bank +255 22 2411117 |
Mr. Isaack E. Kiputa | Chief Internal Auditor +255 22 2411116 |
Mkurugenzi wa TIB, Peter Noni alikiri jana mbele ya POAC kuwa sehemu ya Sh20 bilioni zilizotolewa na Hazina kwenda kwenye benki hiyo kwa ajili ya dirisha la kilimo, Serikali iliamuru zitolewe kama mkopo kwa wafanyabiashara ambao iliwataja kwa majina.Mkurugenzi wa TIB, Peter Noni alikiri jana mbele ya POAC kuwa sehemu ya Sh20 bilioni zilizotolewa na Hazina kwenda kwenye benki hiyo kwa ajili ya dirisha la kilimo, Serikali iliamuru zitolewe kama mkopo kwa wafanyabiashara ambao iliwataja kwa majina.
Ingawa baadhi ya wabunge walimtaka mkurugenzi huyo wa TIB awataje kwa majini vigogo hao, Makamu Mwenyekiti wa POAC, Deo Filikunjombe, alisita na kumtaka Noni asitaje majina hayo. Noni alitaja mbele ya kamati hiyo kuwa moja ya kampuni zilizochukua fedha hizo na sasa zinaonyesha wasiwasi katika kuzirejesha ni Simon Group Ltd. Nyingine ni kampuni tano za kuuza maua nje ya nchi zenye makao yake makuu mjini Arusha, zikiwepo Tengeru Flowers na Mount Meru Flowers.
Kwa kweli sakata la EPA ni ufisadi taslimu na linatia kichefuchefu sana. Toka Rais alipomteua Peter Noni kuwa Mkurugezi TIB nlijua lengo ilikuwa ni kufanya haya yaliyotokea. Peter Noni alihusika katika wizi wa fedha za EPA akiwa mfanyakazi BOT. Hivyo kuteuliwa kwakwe kuiongoza TIB ilikuwa ni kuhadaa wananchi na kuficha ukweli.
​
Parameter | Limit |
Maximum total exposure to a single borrower | TZS 1,000 million |
Minimum total exposure | TZS 50 million |
Group category | Boundary |
a. SACCOs, Cooperatives, Farmers Associations | 30% of the fund size |
b. Micro Finance Institutions | 30% of the fund size |
c. Corporate farmers (private companies) | 35% of the fund size |
5% of the total fund will be for Technical Assistance |