Fedha za EPA zilikorudishwa zaliwa tena; Peter Noni wa EPA, Simon Group wa UDA ndani..

Haaaha! We acha tu watu waendeshe Vogue zao mjini...ni magumashi na kujidanganya kuwa wanayofanya hayatakuja julikana
 
Huyu ndo Peter Noni, Mkurugenzi wa TIB

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI



1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bw. Peter Efraim Mayunga Noni, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) kuanzia tarehe 27 Mei, 2009.

2. Hadi uteuzi wake Bwana Noni alikuwa Mkurugenzi wa Mipango, Mikakati na Utendaji (Director of Strategic Planning and Performance Review) katika Benki Kuu ya Tanzania.

3. Uteuzi huu ni kufuatia Bw. William A. Mlaki aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji kustaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.

TAARIFA HII IMETOLEWA NA MSEMAJI

Source website ya wizara ya fedha-

http://www.mof.go.tz/mofdocs/anounce...TEUZI TR.pdf

CONTROVERSY continues to dog the surprise appointment of senior Bank of Tanzania (BoT) official Peter Noni as the new head of the state-run Tanzania Investment Bank Limited (TIB).

The deputy leader of the official opposition in parliament, Dr Wilbrod Slaa, was yesterday the latest personality to question the government's choice of a new managing director for the public bank, describing it as ''very controversial.''

Dr. Slaa said the fact that Noni was in charge of the central bank department that oversaw dubious payments from the external payment arrears (EPA) account was enough to raise serious questions about his background.

Slaa, who is secretary-general of the opposition CHADEMA political party and legislator for Karatu Constituency, insisted that the government could have opted for a less controversial person to fill the TIB chief executive post.

''The problem of recycling the same people in top positions despite their questionable backgrounds was there during the Mwalimu Nyerere era because at that time there was a shortage of qualified experts. But that's not the case today...we now have tens of thousands of qualified Tanzanians to hold such portfolios,'' he asserted.

He said Noni's appointment also brings up a lot of ethical questions, given that the government has said part of the 63bn/- recovered from the stolen EPA funds has been placed in the custody of TIB.

''It is ironic that the same person who ran the BoT department that administered the EPA funds in the first place, is now made new boss of TIB,'' he remarked.

Further voicing concern over Noni's credibility to head the TIB given such a background record, Slaa said he had been suspicious from the time when Noni was appointed as BoT director of strategic planning and performance review, after being transferred from the central bank's directorate of economic policy.

''I find it quite bewildering that this same individual can now be promoted to become TIB boss,'' he stated, remarking that there is a need for such government appointments to key public positions should always be beyond such suspicion.

Stressed Slaa: ''This is a man who worked at the BoT department through which the EPA funds were stolen...and has now been promoted to a top job at a sensitive bank which has been given the responsibility of managing the recovered EPA money. We can only wonder how and why this is so.''

Central bank insiders say Noni was part of the inner circle of the late BoT governor Dr Daudi Ballali, and is believed to be intimately familiar with the workings of the EPA account where more than 133bn/- was looted during 2005/06.

According to a statement from the Ministry of Finance and Economic Affairs, President Jakaya Kikwete appointed Noni as MD of the TIB effective from May 27 this year.

He replaces former TIB chief William Mlaki, who has reached the statutory retirement age.

At the time of his new appointment, Noni was director of strategic planning and performance review at the central bank.

Previously, he served as BoT director of economic policy, where he was among key central bank officials involved in the processing of payments from the EPA account.

In January this year, Noni appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam as a prosecution witness and testified against three former BoT officials facing criminal charges in relation to the EPA embezzlement scandal.

The ex-BoT officials on trial in the case are Ms Ester Mary Komu, Imani David Akim Mwakosya, and Bosco Ndimbo Kimola.

An audit report by Ernst & Young named several senior BoT officials who held the following positions between June 2005 and July 2006 as being ''directly or indirectly'' involved in the EPA scandal:

The governor (Ballali), director of finance, secretary to the Board (two different officers served in this capacity during the stated period), director of economic policy (two different officers served in this capacity during the period), deputy director of the debt department (two different officers served as DDDD during the period), and head of bilateral and commercial debt.

The audit report uncovered that the BoT debt department, which falls under the directorate of economic policy (once headed by Noni himself), was responsible for the management of the EPA debts.

During the period reviewed in the audit, the department was headed by its deputy director (DDDD), Ms Esther Komu, who took up the position in June 2005.

Reporting to Ms Komu was the head of bilateral and commercial debt (HBCD), Imani Mwakosya, who held the position for a number of years.

(This Day 11/June/2009 iliandika haya)
 
Huyu Peter Noni ni kati ya waliofanikisha wizi wa EPA akiwa Mtumishi BOT, then akapelekwa TIB ili azipokee hela zitazopelekwa na JK baada ya wezi wachache (kama kweli walirudisha) wa EPA kuzisalimisha. Hii sio sanaa ya kitoto???Eti jizi unalikabidhi tena hela lililoshiriki kuziiba. Huku ni kufanyana watoto, Nasukumwa kuamini kuwa hawa walokopeshwa ni kati ya wezi wa EPA, yawezekana kabisa walishindwa kuzirudisha hizo fedha za EPA, wakaambiwa deni la EPA linafutwa ila litahamishiwa TIB kama wakopaji wapya. Hapa tunahitaji kupata ufafanuzi wa kina toka kwa huyo kiongozi wa Serikali na Ikibidi wakaguzi wa mahesabu kutoka nje ya nchi wakakague hesabu za TIB mana kuna harufu ya upumbavu hapo TIB.
 
Agggg nahisi kichwa kuuma na naona marue rue tuu
Watoto wanakosa hata pesa za kusambaziwa mitihani na kuna watu wamekopa Bil 20 na wameshindwa kuzirejesha na serikali inawaonea huruma
Dah kweli mkubwa mpishe apite
 
hivi kweli na akili zenu mliamini fedha hizo zitawafikia wananchi maskini au? subiri na change ya lader kama hamtashikwa na kizunguzungu.
nyie mlifikiri wale mashoga wa UK waliosema pesa isirudishwe serikalini walikuwa hawajui nini kinaendelea wakati ni wakeze zao!!!!!!!!
 
Hivi watanzania mnashindwaje kuamini kwamba hamna Rais, hamna hata na serikali? Tangu mwanzo kitendo cha huyo mnayemwita rais wenu kuanza kuwaambia kwamba amewaagiza wezi wa epa kurudisha hela "serikalini" kinapaswa kuwaonyesha kuwa hamna rais hapa. Tangu lini mwizi anabembelezwa kurudisha hela? This is too much, rais anawabembeleza wezi wa epa, rais anasema hawajui wamiliki wa richmond, rais anamwagiza luhanjo kumsafisha jairo, rais anataka kulipa deni la richmond kupitia dowans....rais....rais...rais....! Halafu mnasema mna rais hapa.

It is about time you stop calling the man a president. He is just a thugh-in-chief leading an organized gang of robbers. And to hell with you Tanzanians who gave this man the so called votes legitimizing the presidency of this man. And shame on you Tanzanians who cannot vote beyond CCM.
 
Mie nilivyoangalia Management structure ya TIB nikajua hapa genge la mafisadi limekamata benki hii. Kiufupi mafisadi ni sumu na janga la kitaifa. Kuwaondoa tunahitaji watanzania tuwe kama wamisri lolote liwalo na liwe. Mafisadi wamejiweka kila kitengo ni wananchi pekee ndio watakaoweza kuwaondoa madarakani. Mifano halisi ni hii.

Mheshimiwa Zitto nakuona hapo chini nataraji unaendelea vizuri kamanda tunakuombea mmungu subhanawataala akupe uzima na afya urudi tupambane na hii mijamaa inatisha!!!
 
bila kujali itikadi zetu za vyama,tuwekeni uzalendo mbele kwa kuwang'oa hawa viongozi wabazirifu. Nalog off
 
tusilalamike wakubwa kumbuken kuwa mkulo na allishasema kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake,ingawa ndani yaa moyo wake alikuwa ana maana ya kuwa mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.mtalalamika sana watu wanendelea kula kuku,cha kufanya ni kuchukua hatua 2,that is only the right solution.
 
Duh! nchi hii hela zinapigwa!!, Kwa hapo aliye nyuma ya pazia ni Kikwete mwenyewe!!. we unataka kusema kuwa haya yanatokea hawayajui?? watu walishasema hiyo Simon Group ni ya Rizione!
 
Report/Mark as Spam [h=6]Jakaya Kikwetehttp://www.facebook.com/Kikwete
Wakati nikilihutubia Bunge mwaka jana nilitangaza kwamba Tshs.53/- bilioni kati ya Tshs.133/- bilioni zilizotolewa isivyo halali kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje(EPA) zimerudishwa na zitawekwa katika Benki ya Rasilimali Tanzania(TIB) kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakulima nchini.Huu ndio uamuzi tulioufikia na tutaendelea kuuzingatia na kuusimamia.[/h]
 
Mimi huwa najiuliza, hivi kwa nini ndugu yet Malaria Sugu huwa hachangii thread hizi za wizi?

Huwa hayaoni hayo maovu yanayofanywa na chama chake? Au ni kichwa cha nazi tu -- shule ndiyo tatizo kubwa?
Kichwa nazi kama MWENYEKITI WAKE.
 
Dah!Wakuu this is too much,MUNGU mjalie afya njema na uzima Dr W.Slaa ili 2015 akamate nchi,then 1st assignment ni KUNYONGA wote hao wanaotuhumiwa na kashfa za ufisadi.
 
Baada ya original version ya EPA nilitegemea Remix sasa hii sijui itakuwa nia wakina nana
from jk government so the issue ni kuwapiga chini wote kazi ikaanza upya
 
KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mwingine wa mabilioni ya fedha kwenye marejesho ya zile zilizochotwa awali kifisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).

Fedha hizo zaidi ya Sh50 bilioni zilizorejeshwa na Rais Jakaya Kikwete kutangaza kuwa zitatumika kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kilimo nchini, zinadaiwa kuchotwa kwenye Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) kwa amri iliyotoka kwa vigogo serikalini.

Sikujuaga kwamba Simon group iliyozawadiwa UDA kuwa ni Wakulima wakubwa hapa nchini.

Kweli Kilimo kwanza!

Pole kijana hujasikia ya SIX TELECOM(Ya NONI) ambayo inahisa 45% kwenye mradi wa Umeme huko singida?
 
tusilalamike wakubwa kumbuken kuwa mkulo na allishasema kuwa kila mtu atakula kwa jasho lake,ingawa ndani yaa moyo wake alikuwa ana maana ya kuwa mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.mtalalamika sana watu wanendelea kula kuku,cha kufanya ni kuchukua hatua 2,that is only the right solution.

Hapana hawa wanakula jasho letu!
 
Mie nilivyoangalia Management structure ya TIB nikajua hapa genge la mafisadi limekamata benki hii. Kiufupi mafisadi ni sumu na janga la kitaifa. Kuwaondoa tunahitaji watanzania tuwe kama wamisri lolote liwalo na liwe. Mafisadi wamejiweka kila kitengo ni wananchi pekee ndio watakaoweza kuwaondoa madarakani. Mifano halisi ni hii.

Mheshimiwa Zitto nakuona hapo chini nataraji unaendelea vizuri kamanda tunakuombea mmungu subhanawataala akupe uzima na afya urudi tupambane na hii mijamaa inatisha!!!

You mean this au?
Mr. Peter Noni
Managing Director
Mr. Thomas M. F. Samkyi
Head of Business Development & Appraisal
+255 22 2411111
Mr. Bernard P. Mono
Head of Treasury & Funding
+255 22 2411112
Mr. Bahati J. Sanga
Head of Information & Communication Technology
+255 22 2411099
Mr. Leonard O. Mlewa
Head of Portfolio Management
+255 22 2411110
Mrs. Stella M. Nghambi
Head of Human Resources & Administration
+255 22 2411096
Ms. Martha J.J. Maeda
Legal Counsel & Secretary to the Bank
+255 22 2411117
Mr. Isaack E. Kiputa
Chief Internal Auditor
+255 22 2411116
MANAGEMENT TEAM
 
Mkurugenzi wa TIB, Peter Noni alikiri jana mbele ya POAC kuwa sehemu ya Sh20 bilioni zilizotolewa na Hazina kwenda kwenye benki hiyo kwa ajili ya dirisha la kilimo, Serikali iliamuru zitolewe kama mkopo kwa wafanyabiashara ambao iliwataja kwa majina.Mkurugenzi wa TIB, Peter Noni alikiri jana mbele ya POAC kuwa sehemu ya Sh20 bilioni zilizotolewa na Hazina kwenda kwenye benki hiyo kwa ajili ya dirisha la kilimo, Serikali iliamuru zitolewe kama mkopo kwa wafanyabiashara ambao iliwataja kwa majina.

Ingawa baadhi ya wabunge walimtaka mkurugenzi huyo wa TIB awataje kwa majini vigogo hao, Makamu Mwenyekiti wa POAC, Deo Filikunjombe, alisita na kumtaka Noni asitaje majina hayo. Noni alitaja mbele ya kamati hiyo kuwa moja ya kampuni zilizochukua fedha hizo na sasa zinaonyesha wasiwasi katika kuzirejesha ni Simon Group Ltd. Nyingine ni kampuni tano za kuuza maua nje ya nchi zenye makao yake makuu mjini Arusha, zikiwepo Tengeru Flowers na Mount Meru Flowers.

Kwa kweli sakata la EPA ni ufisadi taslimu na linatia kichefuchefu sana. Toka Rais alipomteua Peter Noni kuwa Mkurugezi TIB nlijua lengo ilikuwa ni kufanya haya yaliyotokea. Peter Noni alihusika katika wizi wa fedha za EPA akiwa mfanyakazi BOT. Hivyo kuteuliwa kwakwe kuiongoza TIB ilikuwa ni kuhadaa wananchi na kuficha ukweli.

​

Anaposema SEREKALI ILI AMURU aan maanisha nani? Pinda? Kikwete?
waziri? Baraza la Mawazir?

na hilo la kilimo kwenye POLICY ZAO wao wenyewe kuepuka risk walipanga kuwa
7. CREDIT LIMIT, CREDIT CONCENTRATION AND RISK ACCEPTANCE CRITERIA
7.1 Credit Limit
Parameter Limit
Maximum total exposure to a single borrower TZS 1,000 million
Minimum total exposure TZS 50 million
7.2 Credit Concentration
Group category Boundary
a. SACCOs, Cooperatives, Farmers Associations 30% of the fund size
b. Micro Finance Institutions 30% of the fund size
c. Corporate farmers (private companies) 35% of the fund size
5% of the total fund will be for Technical Assistance


Je sheria hiyo ilifuatwa? hakuna aliyepewa zaidi ya 1Bilion?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom