Cestus
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 987
- 131
LG Optimus X2....
Duh la ukweli Hilo mama!!!!
Sent from my iPod touch using Tapatalk
LG Optimus X2....
Duh la ukweli Hilo mama!!!!
Sent from my iPod touch using Tapatalk
nadhani umekusudia kusema siku za nyuma. right?..............:becky:
Mh ok!!!
Mimi simu yangu naitumia Kulimia!! yaah kilimo kwanza
Ok here is a trick, nimeunganisha ile mota inayofanya simu iweze kuvibrate nimeiunga na Jembe kama la trecta so natumia kwa shughuri za kilimo ni good INNOVATION!!
Cheers!!!
Ahahahahahaah!! Acha vituko wewe.....Mh ok!!!
Mimi simu yangu naitumia Kulimia!! yaah kilimo kwanza
Ok here is a trick, nimeunganisha ile mota inayofanya simu iweze kuvibrate nimeiunga na Jembe kama la trecta so natumia kwa shughuri za kilimo ni good INNOVATION!!
Cheers!!!
EMT sasa unafika super market na kuscan vitu alafu unashindwa kuchukua tu wenyewe???Kweli tekinolojia inalemaza!!
Mi natumia samsung champ.
Feature ninayoipenda sana ni hii ya kublock incoming calls na sms,mi ni mwanafunzi kwa hiyo inanisadia sana.Ukimpa mtu 1 namba yako usiku unapigiwa na watu kama tano ambao hujawapa namba.
Nyingine labda Internet,sasa hii nimepunguza nilikuwa addicted kabisa.
Camera,hii natumia karibu kila siku.
Muziki ndio kabisaaa!nikitoka skuli earphone masikioni hadi nitakapoingia kitandani.
Bluetooth pia natumia sana kuangalia simu za wengine bila wao kujua(I LIKE THIS).
Yea, akama una haraka zako, halafu foleni kubwa. lakini kama umeshascan mara moja, vitakuwa stored kwenye simu. So, next time, you don't need to go there again. unaorder tuu through your phone. Kwa wale wanaopenda kuzunguka zunguka kwenye supermarkets sidhani kama hii itawafaa.
EMT sasa unafika super market na kuscan vitu alafu unashindwa kuchukua tu wenyewe???Kweli tekinolojia inalemaza!!
LG Optimus X2....
Mhh hiyo sijaitumia ila nilikua na LG arena 5mp picha zake usipime alafu ilikua na Dolby surround sound basi mziki wake si mchezo!Nakumbuka nilijiakamua kununua LG KC 910 just bcs ya camera. ilikuwa ni mobile phoneya kwanza kuwa na cameara ya 8 Mega pixel. Nadhani LG wana simu nzuri sana.
Binafsi zaidi ya kupiga, Alarm na reminder na saa camera ni feature muhimu kwenye simu. Na radio na Space ya utosha kuweka miziki
kweli itanichukua miaka mingi kutoka tongotongo zote.
Huhhhhhhhhhh???
Nnachojua kuaccess simu ya mtu mwingine kwa kutumia bluetooth lazima mwenye simu aruhusu simu yako kufanya hivyo!!Unless unamaanisha kuziangalia tu majina na labda kuchokonoa uone nani aliyepo karibu atarespond.