Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,424
- Thread starter
- #61
Sio kila mtu anaanguka kwenye vishawishi, some of us do have self control.Nyie msio nazo msitake kulazimisha kwamba wote tunafanana maana hivyo sivyo.Hata yale nisiyoweza mimi najua wapo watu wengine wanaweza. . . acheni kutushusha na sie tunaojua namna ya kupambana na vishawishi.Watu samtaimu munachanganya madawa bana, Ishu sio uaminifu ishu ni binadamu ameumbwa na udhaifu flani kimaumbile, acheni kudanganywa na mapenzi ya kwenye movie.
Kuna vitu kama temptation na situation, vishaiwishi na vidugushi all in all, mapenzi ya mbali haya work. This is the plain truth