Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 286
- 582
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato
Jambo la kwanza
Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema mabaya ya mwenzake? Watu wengi kwenye ndoa kama kitu kinaweza kujenga au kuharibu mahusiano ni kuto kusamehana
Unaweza kushanga MTU Yuko tayari kupatana na marafiki zake ambao wamekosana lakini hawezi kupata na mweza wake Ambao wako kitanda kimoja?
Kuna watu kwa sababu labda ni aina ya maisha tuliyokuwa nayo au malezi tuliyopokea au Mila na desturi za makabila yetu unaona kwamba kitendo cha kuomba msamaha au kumsamehe mwenzako ni kitendo cha kujishusha Kwa hiyo unaendeleza bifu na mwenzako unatafuta mbabe
Kwenye Maisha ya dunia hii Jenga tabia ya kushinda kwenye mashindano lakini kuwa MTU wa kushinda vita , you can losing the battle but winning the war
Ukimjua mwenzako ni MTU wa kushinda vita kuwa MTU wa kushinda mashindano na Maisha yanabadilika ila kila mmoja katika mahusiano akiwa ni MTU wa kushinda mashindano ujue kuna shida mahali
Neno msamaha ni dogo kulisema Ila Lina maana kubwa Sana , ukiwa MTU wa kusamehe utatengeneza mazingira mazuri pia kwenye mahusiano yako ya jayo
Kwanini watu wanatoka mahusiano moja kwenda mengine na pia uko mahusiano yanavunjika pia kama hapo mwanzo?.
Unaweza kutoka mahusiano kwenda mahusiano Ila kutoka kwenye kifungo cha kutokusamehe kutakutengenezea mahusiano yako huko mbele yatakuwaje?
Kuna magonjwa mengine tunakuwa nayo Kwa sababu hatukuwa samehe wenzetu, Jenga tabia ya kusamehe , ukiwa MTU wa kutokusamehe pia ujue kuna mahali watu watakukimbia
Kuna watu ukikaa nao Kwa sababu ndani Yao hakuna kusamehe mioyo Yao inakuwa na majeraha mwisho wa siku wanashinda kuwa na mahusiano mazuri sio Tu na wenzi wao Ila pamoja na watumishi wenzao