Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,902
Yes,life can't be uniform,lakini nakushauri KAMA NA WEWE ULIKUWA UNAISHI HIVO ACHA MARA MOJA NA SIO MAISHA HAYO IKIWA TU UMESHATIMIZA UMRI WA MIAKA ZAIDI YA 25 NA UNAJIMUDU KIMAVAZI,MALAZI NA KULA BASI NI WAKATI MUAFAKA WA KUISHI NA MTU ILI UWE NA WARITHI WA BAADAE NA VILE UNAVYOVITAFUTA SASA VIWE NA MAANA,LA SIVYO HAKUNA SABABU YA KUJIANGAISHA NA KUTUMIA AKILI NYINGI ZA KUTAFUTA WAKATI HAKUNA WANAOKUTEGEMEA KWA LOLOTE,ZAIDI ZAIDI NDUGU WANAZIPIGIA MAHESABU MALI ZAKO,LABDA KAMA UNA MATATIZO YA KIAFYA NDIO UNA JINSI.
Hivi, wajua pana watu wameoa au kuolewa lakini wanajuta !?
Japo, kumbuka sijasema watu wasioelewa ama kuoa ila hicho kitu kiwe ni maamuzi binafsi na siyo shinikizo la jamii, ndugu , jamaaa na marafiki.
Maisha hayana formula.