Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,503
- 1,473
Hahahahaha! Unaamua kujipachika hadi jinsia kujifariji.ikiwa tangu viumbe sisi aina ya binadamu tu umbwe kwenye dunia hii,mfumo wetu wa maisha ni kuwa wawili wawili wa jinsia tofauti,ukianza na Adam na Eva.sasa wewe binadamu gani ukataka uishi peke yako? Utakuwa na matatizo na haujakamilika.Mkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.
Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.
Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.
Any way, her life, its her choice!