Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie

Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.

Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa kwenye ushauri, guidance na kwenye ajira nilishikwa mkono a.k.a connection maana nilisomea vitu ambavyo kuna ndugu tayari wanajua michakato yake, ningesomea mambo mengine ingebidi nipambane sana kivyangu.

Yes, na mimi ndicho nilichowakazia Watoto wasomea... udaktari, sheria au Uhandisi (kuna moja anapenda mambo ya computer nampa motivation aje asomee computer engineering yenye uzito kuzidi IT na computer science).

Katika hizi kozi nimewapa ahadi kwamba iwe isiwe lazima ntasomesha nje ya nchi wacha nijibane tu,

Ikija kutokea wameshindwa kabisa basi wasomee Accounting au na hio ufamasia niliyoiona post nyingine ila watasomea vyuo vya hapa hapa kwetu.

Nje ya hapo waje kujisomesha kwa ada zao.

Hata kwa wa israel, wahindi na wanaijeria, makundi ambayo hata Marekani yana asilimia kubwa ya wasomi kwenye jamii zao (wakiongozewa na wanaijeria) nimeona nao falsafa zao ni hizo hizo DOCTOR, ENGINEERING, LAWYER.

Najua kuna watu watakuja kusema kuna wengine wamesomea insurance wana ajira wakati wengine wamesomea hizo kozi wapo mtaani, kuna darasa la saba hawajasoma vyuoni wametoboa zaidi kuzidi waliosomea kozi hizo, n.k. niwajuze tu ya kwamba hizo kozi nilizosisitiza zina zina probability rate nzuri ya kuajiriwa kwenye system, na muhimu zaidi zipo fursa za kujiajiri. waweza kupiga hybrid pia ofisini + biashara zako.

Najua pia kuna watu watakuja kusema ajira ni utumwa, hahahaha, ni kwamba aina hii ya watu mara nyingi wana wazazi au ndugu walioajiriwa serikalini huku chini chini basi wakiona mtu hawezi kununua hata kagari wanaona ajira zotee hazina kitu, Zungukeni mjionee nyie! Mshahara haujawahi kumtajirisha mtu lakini watu wanaishi maisha standard wanafaidi mema si haba, wanasomesha watoto private, wanakula vizuri, wanai nyumba kadhaa, magari yapo, n.k.,

Ni kweli kujiajiri biashara zinatengeneza matajiri ila usije kuthubutu kusema waajiriwa wote uchumi unawatesa, alafu hata hizo biashara huwa zinaongelewa kwa juu juu, huku watu wanaofeli huwa wanapata shida si mchezo, mtu anaweza kuamka alfajiri anarudi usiku kaindia elf 5 tu, hapo hujazungumzia madeni, marejesho ya mkopo, kufilisika, n.k.
 
Akili yako bado finyu pamoja na kuwa umesoma,mpaka leo unamfundisha mtoto wako asome hili aje awe kibarua wa mtu mwingine!

Kwenye suala la kuajiriwa pia hizo taaluma walau zina maokoto mazuri, alafu inaonekana huna exposure ya kuwa hata na ndugu alieajiriwa anaelipwa fresh wewe unadhani ajira zote zina mishahara kiduchu, Tembea uone kuna Lecturers, engineers, Lawyers, doctors, wapo ndani ya system na wanakula mema sio kitoto.

Na pia nimesema kuna kuajiriwa na kujiajiri, waweza kufanya hybrid kwa mpigo ama kuhamia unachotaka
 
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie

Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.

Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba kwenye ajira nilishikwa mkono, connection niliipata kirahisi maana nilisomea vitu ambavyo kuna ndugu tayari, ningesomea mabo mengine ingebidi nipambane sana kivyangu.

Yes, na mimi ndicho nilichowakazia Watoto wasomea... udaktari, sheria au Uhandisi (kuna moja anapenda mambo ya computer nampa motivation aje asomee computer engineering yenye uzito kuzidi IT na computer science).

Katika hizi kozi nimewapa ahadi kwamba iwe isiwe lazima ntasomesha nje ya nchi wacha nijibane tu,

Ikija kutokea wameshindwa kabisa basi wasomee Accounting au na hio ufamasia niliyoiona post nyingine ila watasomea vyuo vya hapa hapa kwetu.

Nje ya hapo waje kujisomesha kwa ada zao.

Hata kwa wa israel, wahindi na wanaijeria, makundi ambayo hata Marekani yana asilimia kubwa ya wasomi kwenye jamii zao (wakiongozewa na wanaijeria) nimeona nao falsafa zao ni hizo hizo DOCTOR, ENGINEERING, LAWYER.

Najua kuna watu watakuja kusema kuna wengine wamesomea insurance wana ajira wakati wengine wamesomea hizo kozi wapo mtaani, niwajuze tu ya kwamba hizo kozi nilizosisitiza zina zina probability rate nzuri ya kuajiriwa kwenye system na kujiajiri.
Ni vizuri lakini sio guarantee ya kutoboa Maisha! Kama bado umeajiriwa na kama huna ubunifu maishani! Huna maajabu!
 
Kwenye suala la kuajiriwa pia hizo taaluma walau zina maokoto mazuri, alafu inaonekana huna exposure ya kuwa hata na ndugu alieajiriwa anaelipwa fresh wewe unadhani ajira zote zina mishahara kiduchu, Tembea uone kuna Lecturers, engineers, Lawyers, doctors, wapo ndani ya system na wanakula mema sio kitoto.

Na pia nimesema kuna kuajiriwa na kujiajiri, waweza kufanya hybrid kwa mpigo ama kuhamia unachotaka
Ni hela ya kawaida sana sema wabongo akili nyingi ni za kimasikini! Mshahara haujawahi kumtajirisha mtu kama hana ubunifu!
 
Ungesema tu Bachelor of Science ina nguvu kuliko Bachelor of Arts..
Arts mtu akisomea sekondari kuna chance nzuri kwenda kusomea sheria chuoni ila kwa bahati mbaya hakunaga kombi ya sheria form 5,

hapa ndipo napokaziaga kwamba form 5 kama mzazi una pesa ni heri mtoto aende chuo tu aanze kusomea taaluma yake mapema, huko form 6 hata upate division 1 huwezi linganisha na chuoni
 
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie

Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.

Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba kwenye ajira nilishikwa mkono, connection niliipata kirahisi maana nilisomea vitu ambavyo kuna ndugu tayari, ningesomea mabo mengine ingebidi nipambane sana kivyangu.

Yes, na mimi ndicho nilichowakazia Watoto wasomea... udaktari, sheria au Uhandisi (kuna moja anapenda mambo ya computer nampa motivation aje asomee computer engineering yenye uzito kuzidi IT na computer science).

Katika hizi kozi nimewapa ahadi kwamba iwe isiwe lazima ntasomesha nje ya nchi wacha nijibane tu,

Ikija kutokea wameshindwa kabisa basi wasomee Accounting au na hio ufamasia niliyoiona post nyingine ila watasomea vyuo vya hapa hapa kwetu.

Nje ya hapo waje kujisomesha kwa ada zao.

Hata kwa wa israel, wahindi na wanaijeria, makundi ambayo hata Marekani yana asilimia kubwa ya wasomi kwenye jamii zao (wakiongozewa na wanaijeria) nimeona nao falsafa zao ni hizo hizo DOCTOR, ENGINEERING, LAWYER.

Najua kuna watu watakuja kusema kuna wengine wamesomea insurance wana ajira wakati wengine wamesomea hizo kozi wapo mtaani, kuna darasa la saba hawajasoma vyuoni wametoboa zaidi kuzidi waliosomea kozi hizo, n.k. niwajuze tu ya kwamba hizo kozi nilizosisitiza zina zina probability rate nzuri ya kuajiriwa kwenye system, na muhimu zaidi zipo fursa za kujiajiri. waweza kupiga hybrid pia ofisini + biashara zako.

Najua pia kuna watu watakuja kusema ajira ni utumwa, hahahaha, ni kwamba aina hii ya watu mara nyingi wana wazazi au ndugu walioajiriwa serikalini huku chini chini basi wakiona mtu hawezi kununua hata kagari wanaona ajira zotee hazina kitu, Zungukeni mjionee nyie! watu wamo ndani ya system na wanafaidi mema si haba, wengine wazazi wamewanunulia magari wakiwa sekondari kwa ajira hizo hizo tu alafu uje kucheka eti ajira ni umasikini ??, Ila ni kweli kujiajiri waweza kutoboa zaidi ila usije kuthubutu kusema waajiriwa wote uchumi unawatesa, ni kwamba bado hujapata exposure ya kuzaliwa kwenye familia au kuwa na ndugu walioajiriwa na maisha yao yapo poa.

unachoeleza hakijulikani hakina kichwa wala miguu
 
Sijui kwanini unahangaika kutetea hoja yako kuwaelezea Watu🤔🤔hyo kama ni fursa na kwenu kuna watu wengi kwenye mfumo basi hakikisha ndugu wengi mnacheza humo ili maisha yaende .......humu watakubishia si unaelewa tena huku wote tumetoboa hatutaki ajira 🤣

Familia nyingi zina huo mfumo kama kwenye ukoo kuna wale waliotangulia kupata elimu hua wana-impact sana kwenye generation zinazofuata mfano home kwetu ndugu wengi wamesoma IT na uhasibu
 
Sijui kwanini unahangaika kutetea hoja yako kuwaelezea Watuhyo kama ni fursa na kwenu kuna watu wengi kwenye mfumo basi hakikisha ndugu wengi mnacheza humo ili maisha yaende .......humu watakubishia si unaelewa tena huku wote tumetoboa hatutaki ajira

Familia nyingi zina huo mfumo kama kwenye ukoo kuna wale waliotangulia kupata elimu hua wana-impact sana kwenye generation zinazofuata mfano home kwetu ndugu wengi wamesoma IT na uhasibu
Point iyo kikubwa survival chance iko wap hao wenye akili tuwaache na akili zao. Naionaga graduate wenzangu wa forex wanatuzarua waajila kwamba tuna akili ya kimaskini Ila miba yao Sasa daily ko ukiwa una waza Sasa ao wenye brain altitude za kitajiri Ila in real life they are dependent ni Bora kua mtumwa Ila ugali nyumbani sio wa kuomba omba
 
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie

Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.

Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba kwenye ajira nilishikwa mkono, connection niliipata kirahisi maana nilisomea vitu ambavyo kuna ndugu tayari, ningesomea mabo mengine ingebidi nipambane sana kivyangu.

Yes, na mimi ndicho nilichowakazia Watoto wasomea... udaktari, sheria au Uhandisi (kuna moja anapenda mambo ya computer nampa motivation aje asomee computer engineering yenye uzito kuzidi IT na computer science).

Katika hizi kozi nimewapa ahadi kwamba iwe isiwe lazima ntasomesha nje ya nchi wacha nijibane tu,

Ikija kutokea wameshindwa kabisa basi wasomee Accounting au na hio ufamasia niliyoiona post nyingine ila watasomea vyuo vya hapa hapa kwetu.

Nje ya hapo waje kujisomesha kwa ada zao.

Hata kwa wa israel, wahindi na wanaijeria, makundi ambayo hata Marekani yana asilimia kubwa ya wasomi kwenye jamii zao (wakiongozewa na wanaijeria) nimeona nao falsafa zao ni hizo hizo DOCTOR, ENGINEERING, LAWYER.

Najua kuna watu watakuja kusema kuna wengine wamesomea insurance wana ajira wakati wengine wamesomea hizo kozi wapo mtaani, kuna darasa la saba hawajasoma vyuoni wametoboa zaidi kuzidi waliosomea kozi hizo, n.k. niwajuze tu ya kwamba hizo kozi nilizosisitiza zina zina probability rate nzuri ya kuajiriwa kwenye system, na muhimu zaidi zipo fursa za kujiajiri. waweza kupiga hybrid pia ofisini + biashara zako.

Najua pia kuna watu watakuja kusema ajira ni utumwa, hahahaha, ni kwamba aina hii ya watu mara nyingi wana wazazi au ndugu walioajiriwa serikalini huku chini chini basi wakiona mtu hawezi kununua hata kagari wanaona ajira zotee hazina kitu, Zungukeni mjionee nyie! Mshahara haujawahi kumtajirisha mtu lakini watu wanaishi maisha standard wanafaidi mema si haba, wanasomesha watoto private, wanakula vizuri, wanai nyumba kadhaa, magari yapo, n.k.,

Ni kweli kujiajiri biashara zinatengeneza matajiri ila usije kuthubutu kusema waajiriwa wote uchumi unawatesa, alafu hata hizo biashara huwa zinaongelewa kwa juu juu, huku watu wanaofeli huwa wanapata shida si mchezo, mtu anaweza kuamka alfajiri anarudi usiku kaindia elf 5 tu, hapo hujazungumzia madeni, marejesho ya mkopo, kufilisika, n.k.
Nawatia moyo wale ambao ukoo wao wamesoma Theology au hawajasoma lakini ni wachungaji , mapadri,manabii ,mitume,walimu wa injili, Hawa maokoto yao hayaeleki , okoto Moja TU la jumapili kwa Mwamposa ,Gwajima,Mwakasege,Geor Dave linalipa mishahara ya ukoo mzima wa enginer, daktari na lawyer kwa mwezi . Mjini mipango, Nina mtoto wangu kichwa sana anasema anataka kuwa mchungaji, nabii au mtume ,nimemtia moyo akeze yupo "right truck in Magufuli voice" .Mwingine anataka kuwa Rubani nimesema sawa ,ila huyu mtumishi atatoboa mapema kabla ya Rubani .Maana watoa sadaka ni madaktari,marubani wahasibu,wahandisi n.k .Asante.
 
Back
Top Bottom