Falsafa ya CHADEMA ni hii, ya CCM iko wapi?

Duh mbona sipati falsafa ya CCM:juggle:
Chadema si chama chenye falsafa ya nguvu ya umma(ujamaa),msitudanganye hapa!!!...tumewashtukia long time!!
CCm ni chama chenye itikadi ya kijamaa ila viongozi wake wapo corrupt!!!...
 
Hivi ujamaa ndio nguvu ya umma. Umewahi kusoma kitabu kinachoitwa animal farm.
Viongozi hawawezi kuwa corupt kama conscience yao iko salama kwa kulindwa na falsafa inayoeleweka. Wataalamu wanasema coruption is a result of poor philosophy.

Sasa Falsafa ya CCM ni ipi? haiwezi kujificha tuelezeni?:gossip:
 
sio kweli. kwani ccm walishinda uchaguzi uliopita? mbona tume ya uchaguzi hadi leo hawana matokeo halisi ya urais. tupe vigezo walishinda vp.
 
bwana sanga tafadhali, hii falsafa naweza pata wapi nakala zake kadhaaa niende nazo kijijini kwangu nikawagawie wajisomee na kujipatia uelewa? plz, naenda wakati wa pasaka. last time niliwapelekea nakala za katiba sema sikupata za kiswahili so nilichukua mbili za kiingereza nikawapa jamaa ambao nilisoma nao o level na leo wapo pale. hii falsafa nzuri nikiwapelekea nao wajue,watawaelewesha na wengine taratibu mpaka kufika 2015 kijiji kizima watakuwa wanajua cdm na wamebaini ubaya wa ccm. tafadhali wapi napata these copies?
 
Falsafa ya CCM hii hapa kwasasa................

  1. CCM ni chama kilichobadilisha malengo kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi kwenda Chama Cha Mafisadi
  2. Udanganyifu na uchakachuaji ni moja ya nguzo muhimu za chama cha mapinduzi na kiko tayari kupigania hilo mpaka mwisho
  3. CCM ni chama ambacho unapotaka kuongelea suala la haki,ustawi wa mtanzania ni lazima uwe mwendawazimu kidogo la sivyo hutaweza
  4. Kwetu kupokea rushwa ni haki na kila mtanzania ajifunze kufanya hivyo kwa maendeleo yake binafsi
  5. CCM inasisitiza uzalendo na maslahi ya nchi baadae,maslahi ya mtu binafsi na chama kwanza..
Nawakilisha wanaJF....
 
Nguvu ya umma ni ujamaa....i.e the public ownership of major means of production,CDM kama ulivyoona kwenye interview niliyoipost,wanabase sana kwenye ubinafsishaji!.nguvu ya soko.
 
Mnamtambua rais?....kama hamumtambui je,nini mnafanya?..,au mnaogopa?
 
Falsafa ya CCM hii hapa kwasasa................

  1. CCM ni chama kilichobadilisha malengo kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi kwenda Chama Cha Mafisadi
  2. Udanganyifu na uchakachuaji ni moja ya nguzo muhimu za chama cha mapinduzi na kiko tayari kupigania hilo mpaka mwisho
  3. CCM ni chama ambacho unapotaka kuongelea suala la haki,ustawi wa mtanzania ni lazima uwe mwendawazimu kidogo la sivyo hutaweza
  4. Kwetu kupokea rushwa ni haki na kila mtanzania ajifunze kufanya hivyo kwa maendeleo yake binafsi
  5. CCM inasisitiza uzalendo na maslahi ya nchi baadae,maslahi ya mtu binafsi na chama kwanza..
Nawakilisha wanaJF....
Hivi wewe mbona kama unaelewa the curent falsafa ya CCM, yaani live. Unajua kuna documents lakini falsafa huonekana kwa matokeo ya matendo fikra, hebu endelea kutueleza vizuri zaidi.

Unaonekana kama mwana JF wa kwanza , ambaye unaanza kurudi kenye topic.:gossip:
 
Falsafa ya CCM hii hapa kwasasa................

  1. CCM ni chama kilichobadilisha malengo kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi kwenda Chama Cha Mafisadi
  2. Udanganyifu na uchakachuaji ni moja ya nguzo muhimu za chama cha mapinduzi na kiko tayari kupigania hilo mpaka mwisho
  3. CCM ni chama ambacho unapotaka kuongelea suala la haki,ustawi wa mtanzania ni lazima uwe mwendawazimu kidogo la sivyo hutaweza
  4. Kwetu kupokea rushwa ni haki na kila mtanzania ajifunze kufanya hivyo kwa maendeleo yake binafsi
  5. CCM inasisitiza uzalendo na maslahi ya nchi baadae,maslahi ya mtu binafsi na chama kwanza..
Nawakilisha wanaJF....

Jee Hii ndo Imeshapita? Sipati Picha:bored:
 
kuhusu wao ANAIJUA MAKAMBA teh! Hawana ishu wale, wamejaa propaganda na uzushi ndani yao, wanafiki, waongo, wachoz wasiojua Uongozi, mwisho wao/anguko lao ni hili!
 
Naona wameshindwa kabisa kunipa falsafa ya CCM ya sasa. Bla bla tu. Ndo maana sasa wanazomewa kwenye mikutano:help:
 
Nguvu ya umma ni ujamaa....i.e the public ownership of major means of production,CDM kama ulivyoona kwenye interview niliyoipost,wanabase sana kwenye ubinafsishaji!.nguvu ya soko.

kumbe Jf vilaza wapo wa kumwaga. Tuishauri jf ianzishe vilaza forum ili wafinyu wa akili wakae peke yao! Ni aibu kubwa kuiita Nguvu ya umma kuwa ni ujamaa unless kama umeishia std3 na wala si zaidi ya std6. Nguvu ya umma,PEOPLES POWER inaweza kupatikana popote ambako watu wameamua kuja pamoja kwa common goals. Inaweza ikawepo ktk jamii ya mabepari,wanasiasa,wajamaa hata umma wa wafungwa. Pia Peoples Power haina uhusiano wowote na Economic system,sasa vilaza hawani tofauti,wakifikiria ujamaa wanapata picha ya nguvu ya umma! Hapa ni kushindwa kutumia ubongo kufanya kazi ya kupangilia mawazo kichwani. Sijadili tena hapa,kwa heri.
 
falsafa ya chama inaweza kuonekana zaidi kwa ku examine dhamira ya chama chenyewe kuliko hata kuangalia ile iliyopo katika makabrasha.
falsafa ya CCM inaonekana ni kuhakikisha inatawala nchi daima, kwa njia halali au zisizo halali haijalishi.Pia ni kuhakikisha maslahi yake yanalindwa hata kama hayana faida kwa taifa.

Kwamfano; kwa suala kama la katiba. kama serikali ingekua inataka kwa hiari kuunda katiba mpya, me sioni ugum wowote.lingeka suala la mda mfupi na garama kidogotu.ila kwa sasa linataka kuchukua hata maisha ya watu.
 
Ina maana umafia mtupu, he, naiogopa hii threa:help:d
 
Kwani mpaka leo hamjajua falsafa ya CCM mbona iko wazi kabisa..

Angalia aliyofanya Lowana Kuchota mabilioni hadi Nyerere akamshtukia...

Ona aliyofanya Rostam na kampuni yake ya Caspian

Manji na kashfa ya Quality plaza

Mkapa na kiwira na hotel africa ya kusini

Jk na hotel ya serengeti na ikulu ya chalize

mramba na PrecisionAir wizi mtupu..

Mgonja na jengo refu kupita yote arusha next to Golden Rose hotel

yona na kuuwa General tyre na yeye kuwa agent wa tyres kutoka china na kwingineko..

KWA KIFUPI FALSAFA YA CCM NI CHUKUA CHAKO MAPEMA... KWANI WATANZANIA NI WAJINGA NA HAWAJASOMA..

SASA ITAWATOKEA PUANI...
 
Jamani CCM kinavyoadhirika hivi sana kwa kudandia kila kitu hadi hoja za wengine tu inasikitisha kweli kweli.

Tangu chama hiki kijitangazie kule Zanzibar kwamba tangu wakati huo kimeachana na Sera tanzu ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA na kukumbatia mfumo mpya wa Soko Huria, nasema hadi leo hakijulikani kimatendo kwamba hasa wenzetu wanafuata dira na falsafagani kuleta maendeleo nchini.

Siku zote jitihada kubwa bila kuwa na malengo ni kazi bure, sijui kukifanyia tathmini hii serikali ya Kikwete ndio hasa watu tukaanzie wapi hivyo!!!!!
 
Kwani mpaka leo hamjajua falsafa ya CCM mbona iko wazi kabisa..

Angalia aliyofanya Lowana Kuchota mabilioni hadi Nyerere akamshtukia...

Ona aliyofanya Rostam na kampuni yake ya Caspian

Manji na kashfa ya Quality plaza

Mkapa na kiwira na hotel africa ya kusini

Jk na hotel ya serengeti na ikulu ya chalize

mramba na PrecisionAir wizi mtupu..

Mgonja na jengo refu kupita yote arusha next to Golden Rose hotel

yona na kuuwa General tyre na yeye kuwa agent wa tyres kutoka china na kwingineko..

KWA KIFUPI FALSAFA YA CCM NI CHUKUA CHAKO MAPEMA... KWANI WATANZANIA NI WAJINGA NA HAWAJASOMA..

SASA ITAWATOKEA PUANI...
Mkuu Martin umenichekesha sana kwamba falsafa ya hawa CCM ni kuchukua chako mapema na ukatoa list safi ya walochukuwa na vilivyochukuliwa mapema na bado uchukuzi unaendelea! Sina mbavu...
 
Back
Top Bottom