BLESS MIHILA
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 304
- 70
Haihitaji kuingia darasani ili kuwachana kiukweli hawajielewi kabisa hawa NYINYIEM na siyo CCM:A S shade:
Haihitaji kuingia darasani ili kuwachana kiukweli hawajielewi kabisa hawa NYINYIEM na siyo CCM:A S shade:
unapaswa kuwa umekufa au haujawahi kuishi Tanzania ndio uwe hauifahamu Falsa ya CCM, maana hata ukilitaja jina hili kwa kirefu utapata majibu.
jamani tuache ushabiki tupeane elimu. Wenzenu wameweka falsafa yao. Kwa nini ninyi CCM nanyi msiweke falsafa yenu kama ipo?. Kwa nini badala ya kujibu kwa kuweka kinachotakiwa mnapeleka kwenye matusi. Tafadhari CCM tunasubili falsafa yenu kama ipo baada ya UJAMAA KUFA kwa azimio la Zanzibar.
Ina maana inatawala hovyohovyo bila falsafa? basi Kolimba alikuwa na issue kubwa aliposema haina tena dira.Kama hii haitakuwa tusi basi jibu ni kuwa CCM haina falsafa, ila imetawala Tanzania toka imeanzishwa ikiwemo na miaka ishirini tangu CDM imeanzishwa.
Ina maana inatawala hovyohovyo bila falsafa? basi Kolimba alikuwa na issue kubwa aliposema haina tena dira.
Jibu linalotakiwa wakilisoma wao wanakubambikiza kosa la mtandao ... kiukweli ndivyo hivyo unavyojua kwamba tupo kwenye safari isiyojulikana ..Mboana sipati jibu mpaka leo?