Kama baadhi mlivyosema wakati wa Nyerere, CCM ilikuwa na falsafa ya ujamaa na kujitegemea. Kulikuwa na mipango iliyotokana na falsafa kama maadili ya uongozi, mapambano dhidi ya rushwa, umoja wa Africa nk. Mwinyi aliua ideolody na hapo ndipo CCM ilivurugwa hadi leo hawana ideology. Wana CCM tuambieni ideology yenu leo ni ipi?