Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

Hayo ya Faiza si mageni katika jamii yetu. Wadada kibao wapo hivyo ila wanajishaua tu. Kosa lake ni kuyaweka hadharani mambo yake ya kipuuzi aliyoyafanya. By the way...napenda confidence yake, naishangaa mno!
Hii ni zaidi ya confidence,,huyu anazungumzia hali halisi ya hisia zake na maumivu ya kutendwa ambayo haamini kama yanamtokea yeye,,hii in dalili ya kukosa self control,,,,
 
KIPENZI UPO? KUMBE NI WA UDIGONI NDO WANAFANYA HAYA?
Hao ni mafundi wenye engineering ya textile,,,hapo akidesign kiwalo lazima kikutoshe labda uwe umeshiba biriani,,,
Udigoni na USAmbaani kwa mafundi sampuli hiyo nomaaaa,,,lazima useme nae
 
Kila mwanamke anajiuza ni kiasi cha kujua bei yake tu!
well said.... Everybody has a price whether it's monetary ama something else. Bora ya yeye aliyeweka hadharani kuliko yule anaekuwa na wanaume 5 at once kwa kificho na wote wanaitwa baby ikihitajika pesa.
 
Bora useme wewe huyu kijana hana adabu sijui kwao hakuna wanawake jana nilimpa maneno hadi akaingia mitini nashangaa Leo sizioni comments zangu sijui moderator wamezifuta mxyiuusshh..
Ni akili ya kitoto inayomsumbua huyu mtu, akikua kiakili atajua thamani yenuu
 
Hii ndio Dunia ya leo ambayo mtu anaeongea ukweli anaonekana wa ajabu..!!

Kwa mkristo kama mimi hapo Faiza anatenda dhambi ya UZINZI ila ameikimbia dhambi ya UONGO, tofauti na wengi wanaofanya UKAHABA na KUDANGANYA JUU

Je ni asilimia ngapi ya wanawake wanaoingia kwenye mahusiano bila kuangalia kipato cha mwanaume??? Ni wachache sana hata asilimia 3 haiwezi kufika, na watu wengine wametoka kuhonga/kuhongwa lakini wanamuona Faiza wa ajabu kusema anajali pesa hahahaha..
 
Hii ndio Dunia ya leo ambayo mtu anaeongea ukweli anaonekana wa ajabu..!!

Kwa mkristo kama mimi hapo Faiza anatenda dhambi ya UZINZI ila ameikimbia dhambi ya UONGO, tofauti na wengi wanaofanya UKAHABA na KUDANGANYA JUU

Je ni asilimia ngapi ya wanawake wanaoingia kwenye mahusiano bila kuangalia kipato cha mwanaume??? Ni wachache sana hata asilimia 3 haiwezi kufika, na watu wengine wametoka kuhonga/kuhongwa lakini wanamuona Faiza wa ajabu kusema anajali pesa hahahaha..
lkn kukaa kimya pia sio dhambi ni bora amwambie mungu maana binadamu wote ni wale wale wadhambi
 
Wanaume tuweni makini sana katika kuoa. Umri huu mdogo nimejifunza mengi sana kuhusu ndoa kupitia baba zangu wadogo na baadhi ya kaka zangu. Kwanza usioe kabisa mwanamke asiyetambua mila na desturi zake. Mila na desturi zake ni maelezo mapana sana. Aisee nasema toka moyoni kuwa nilikaa sana na mama kipindi nataka kuoa na hadi naenjoy tu ndoa yangu pamoja na kuzamia nchi za watu. Mambo yangu yanasonga sababu mke hanisumbui wala mimi simsumbui. Duh mama Pagi all da best ma cheri
SAFI SANA KIJANA .. UMENENA
 
Niliangalia hicho kipindi, niliona aibu,
Namfahamu Sugu, namfahamu mama yake Sugu,
Kweli huyu dada ni aibu kwa familia ya Sugu;
Hata hivyo angetulia angeendelea kula mema ya Sugu.
Masingle mothers. Wanawake wa siku hizi kuna kitu hawawazi, mababu zetu walipoanzisha ndoa walikua na akili sanaa ila dunia ya sasa watu hawawazi kwa upana.
 
Usiwe na mahusiano na mtu bora ilimradi una mahusiano nae
Angalia kesho na kesho kutwa unaweza kuzaa nae
Na hakuna jambo linaloumiza kuzaa na mtu ambaye ulikuwa huna mpango nae
Angalia usije ukajiuliza ilikuwaje mpaka nikawa nae..
Huyu Dada ni funzo kwetu sisi Wanaume..
 
Back
Top Bottom