Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

mimi najua mwanamke yeyote ni PORI TENA MSITU MKUBWA AMBAO UNAKIKA AINA YA WANYAMA HATARI. by the way omba sana MWENYEZI MUNGU AKUPE KIFAA CHA MOYO WAKO. huyo Faiza alisema amemwambukiza sugu gonjwa gani la gono??? sikujua huu. God protect us.
 
huyu mdada nishagumiana naye sana pande za uchinani na hong kong.kuhusu mastaa kujiuza si habari mpya ndio kinachowaweka mjini.tena huwa wanakatiwaga na tiketi kabisa na washika dau china na huko uarabuni wanaenda wanalika huko na madon wa sembe wanapewa vidola vyao elfu kadhaa wananunua maguo chambuuchambuu wanayaleta kwenye mabutiki yao sinza na kino
 
Kwa hiyo hizi ndio biashara zao hao Bongo movies?Mkuu titimunda unanitisha aseee
 
Kwa hiyo hizi ndio biashara zao hao Bongo movies?Mkuu titimunda unanitisha aseee
ndio biashara zao mzee mbona wadau wanalijua hilo.kuna jamaa anaitwa Omary ndo alikuwaga mchati wao mkubwa kwa guangzhou skuiz amekuwa bankrupt.kuna wengine sasa anabeba ngada kutoka huku akifika kule anakabidhi mzigo wa watu then anaanza kuuza mwili akimaliza anafunga mzigo wa nguo anarudi nao bongo.mi ninazo hadi picha zao.ila tu ndo hivyo tunasitiriana aibu
 
Naona saizi viji tv vya bongo vinataka kuongeza watazamaji baada ya kuona vipindi vyao vingi havina watazamaji wengi, njia rahisi wameona ni kumuita huyu Kich3ch3 studio tu.
 
"Uzinifu ni dhambi, sasa unatendaje dhambi isiyo na faida"-faiza u r such a character
Tatizo lako umezidi uwazi ndio maana jamii haikuelewi
 
Huyu maza yuko direct.
Mkweli,hazugi
Wala hakwepeshi kwenye tundu....yaani huyu ndio wale ukienda kutongoza unajizungusha zungusha,anakusaidia mwenyewe kujitongoza
Anakwambia kabisa yaani mimi ili nikubali fanya hivi na hivi,hapo ndio utanipata!!Halafu utasikia anasema we usijizungushe sanaaa,we sema tu unanitaka lini na wapi tukutane basi!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom