Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

Kwahiyo Dr cheni na Mr. 2 Sugu wametoka kwasababu walijilipua huko Hong Kong?
 
Ukweli wa kiwango cha FAIZA ambao hata waumini wengi wa dini hawawezi kuusema?so kila ukweli husemwa hadharani atakuwa na tatizo kichwani.
 
hawa watu ni wa kuwa tazama mara mbili mbili anaweza kua anacho kiongea hakina ukweli ila anatafta attention na a trend kwenye social networks ili mradi mjini kukalike wapo walisha wahi kuji zushia kifo, kubwakwa na mengine ili mradi tu a make headlines tu
 
Yani baada ya kusema yote hayo then unasema unampenda mtu na kuangua machozi kabisa...Huu uigizaji wa kiwango cha hollywood

itakuwa haigizi ila ni hali halisi maana hats nae anamoyo wenye nyama na damu,
 
Yani baada ya kusema yote hayo then unasema unampenda mtu na kuangua machozi kabisa...Huu uigizaji wa kiwango cha hollywood

itakuwa haigizi ila ni hali halisi maana hats nae anamoyo wenye nyama na damu,
 
Nazani yote ii ni kutokani na taboo zetu tunakua na mipaka ya kuongea ila mimi naona yuko sawa mbona tunamlaum tu yeye ina maana sugu alitoka wapi na yeye kama na yeye sio mnunuaji?
 
Niliangalia hicho kipindi, niliona aibu,
Namfahamu Sugu, namfahamu mama yake Sugu,
Kweli huyu dada ni aibu kwa familia ya Sugu;
Hata hivyo angetulia angeendelea kula mema ya Sugu.

Mimi nafikiri sugu alipaswa kumchukua tu safari hii huenda angebadilika vinginevyo ataendelea kujuta kwanini alizaa na huyo binti.
 
Back
Top Bottom