Faiza wa Sugu: Nilikuwa nauza mwili kwa faida

Sugu na Faiza wamepotezana. Sema Sugu kampoteza sana Faiza. Maana akumbuke yule ni mzazi mwenzake
 
Boss hiyo ni tofauti..Huyu kasema mapenzi kwake biashara..halafu hapohapo anaanza kulia kuwa anampenda mtu.Unaweza kuinunua hiyo???.Wanawake wanaojiuza wako wengi na inajulikana lakini still mtu huwezi kuongea kwenye media as if ni kitu cha kawaida..Watu lazima wakushangae...

Binadamu tunafanya mambo mengi tu yasiyofaa/yakijinga lakini mtu huwezi kusimama mbele ya watu na kuyaongelea..Mf Mtu anahojiwa then akasema labda ye ni nose picker au akaanza kupick pua yake...Watu watamshangaa na kumuona akili zake sio sawa japo wengi wanafanya hivyo...So sometimes swala ni WAPI NA UNAONGEA/UNAFANYA NINI
Hahah basi ume nikumbusha kitu, skumoja naangalia kipindi TV one nikamuona jokate ana pick her nose kwenye mahojiano na anarudia Mara kibao yaani nilishangaa kwann wasi edit hyo part
 
Hahah basi ume nikumbusha kitu, skumoja naangalia kipindi TV one nikamuona jokate ana pick her nose kwenye mahojiano na anarudia Mara kibao yaani nilishangaa kwann wasi edit hyo part
Teh teh..We uwa hufanyagi kwani?..Umeshapata mwenyeji humu?
 
Hii ni zaidi ya confidence,,huyu anazungumzia hali halisi ya hisia zake na maumivu ya kutendwa ambayo haamini kama yanamtokea yeye,,hii in dalili ya kukosa self control,,,,

Hivi haoni hata wanaomfanyia interview wanataka ajichoreshe as wanajua yuko hatua mbili mbele?
She's okey hata Kama ni kuwa muwazi!!!
Hana kifua na Wala hachagui na kuchambua la kuongea
 
Hivi haoni hata wanaomfanyia interview wanataka ajichoreshe as wanajua yuko hatua mbili mbele?
She's okey hata Kama ni kuwa muwazi!!!
Hana kifua na Wala hachagui na kuchambua la kuongea
Umeshawahi kutendwa na mpenzi uliyejitolea kwa kila kitu kwake?
 
Faiza anaponzwa na ukweli wake ila ki-uhalisia wapo wengi kama yeye ila kukausha kwao tunawaona sio mafyatu naamini ukweli unamuweka mtu huru.
Ulichosema ni kweli kuhusu ukweli hakuna kitu kizuri kama kuwa mkweli ila yeye bahati mbaya anaharibu kwenye nguo kama nepi na ile ya natsko nje ukichanga kuwa mkweli plus nguo hizo watu wanamuona chizi.ila ingekuwa moja tu ya ukweli bila nguo naona ingekuwa sawa.kwa upande wangu
 
Huyu dada dish limepoteza uelekeo... no connection:(
Yani acha tu maskini...mimi nilishindwa kumuelewa siku ya bday kuvaa nguo ya harusi yani achana za nepi na ile nyingine maana nilijuwa binadamu wa kawaida hawezi fanya hivyo.sasa nguo ya harusi mi hoi
 
Ulichosema ni kweli kuhusu ukweli hakuna kitu kizuri kama kuwa mkweli ila yeye bahati mbaya anaharibu kwenye nguo kama nepi na ile ya natsko nje ukichanga kuwa mkweli plus nguo hizo watu wanamuona chizi.ila ingekuwa moja tu ya ukweli bila nguo naona ingekuwa sawa.kwa upande wangu
 
samahani hvi huyu dada ni mwenyeji wa mkoa gan? yani kabila lake.... na kahistoria kake kwa ufupi, ntashukuru.
 
Back
Top Bottom