Mnakuwa na haraka gani?
Jipange uulize kitu kinachoeleweka..sasa hapa ndo umeuliza nini??
Anza upya bana!
unadhan ningeuliza vp mkuu ili nieleweke?
Any way ngoja waje wengine watakaokuelewa!
Yaan kwa mfano unaposema..''Je nawezaje kufungua account yangu ya facebook ambayo watu watalike
kwa mfano mzur ni account ya fid q or dj choka nk'' ..wewe unahisi kila mtu anazijua account za hawa watu??
Kwa nini usieleze moja kwa moja unachotaka usaidiwe???..kuliko kutaja accounts za facebook za hao watu???
mi nimeelewa hivi kwamba umeshindwa tofautisha page na account ya fb.
Ukishakua member wa fb unaweza tengeneza page, inaweza kua ya kazi kama websites au wanamuziki kama hivo pia inaweza kua personal
Kama unataka page na wewe watu wakulike ingia link hio apo chini.
Create a Page | Facebook
Kama nlivodhania sivo unavosema nielekeze vizuri
samahan mkuu hz
zp code ni zp?
+255 hz nazo n zp mkuu.
Mkuu mbona inazingua kufunguka?
Mbona ameeleweka, nadhani wewe ndo umekuwa na haraka ya kucomment