Kuhusu aina hii ya post FB

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
194
159
Wakuu sidhani kama niko nje sana ya maudhui ya hapa!!

Nimekuwa nikivutiwa sana na aina hii ya posts huko Facebook, unakuta picha ndo iko juu halafu caption ipo chini!! Nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali kuuliza utaalamu huu lakini sijawahi kupata majibu, nimejalibu hata kuwauliza wenye post hizo lakini nako hawanijibu.

Nimekuja hapa JF labda kuna mtu mwenye utaalamu huo anisaidie

Mfano ndo huo hapo chini kwenye picha

Nawasilisha


Screenshot_20221102-140321.jpg
 
Back
Top Bottom