facebook hii ipo vp?

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
habr wana jf?

Samahan wakuu naomba na mm kupata haya maujanja.

Je nawezaje kufungua account yangu ya facebook ambayo watu watalike

kwa mfano mzur ni account ya fid q or dj choka nk.

Nawasilisha kwenu.
 
Mnakuwa na haraka gani?
Jipange uulize kitu kinachoeleweka..sasa hapa ndo umeuliza nini??
Anza upya bana!
 
unadhan ningeuliza vp mkuu ili nieleweke?

Any way ngoja waje wengine watakaokuelewa!
Yaan kwa mfano unaposema..''Je nawezaje kufungua account yangu ya facebook ambayo watu watalike
kwa mfano mzur ni account ya fid q or dj choka nk'' ..
wewe unahisi kila mtu anazijua account za hawa watu??
Kwa nini usieleze moja kwa moja unachotaka usaidiwe???..kuliko kutaja accounts za facebook za hao watu???
 
mi nimeelewa hivi kwamba umeshindwa tofautisha page na account ya fb.

Ukishakua member wa fb unaweza tengeneza page, inaweza kua ya kazi kama websites au wanamuziki kama hivo pia inaweza kua personal

Kama unataka page na wewe watu wakulike ingia link hio apo chini.

Create a Page | Facebook

Kama nlivodhania sivo unavosema nielekeze vizuri
 
huo n mfano tu kama huwajui hao watu bora swal umelielewa tusilete malumbano mkuu.
 
Nadhani nazungumzia 'FAN PAGE', ambayo uki-like unakuwa friend wake moja kwa moja bila ya yeye ku accept, tofauti na hizi nyingine ambayo mtu kuwa friend wake hadi umu-add as a friend na yeye akubali ndo mnakuwa marafiki..
 
mi nimeelewa hivi kwamba umeshindwa tofautisha page na account ya fb.

Ukishakua member wa fb unaweza tengeneza page, inaweza kua ya kazi kama websites au wanamuziki kama hivo pia inaweza kua personal

Kama unataka page na wewe watu wakulike ingia link hio apo chini.

Create a Page | Facebook

Kama nlivodhania sivo unavosema nielekeze vizuri

samahan mkuu hz

zp code ni zp?
 
dah... Watu wenge bana unafungua page mtu hufahamiki... Ndo mnaanza kutusumbua et plz like my page... Mm mtu akitaka ni like page yake atanipa buku... Labda mm ndo ni like page yake bila yy kuomba.,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom