Eyes on Kenya

I don't see anything so special about Kenya being featured on CNN. Tanzania has had it's moments as well. We have run an ad, Bush was here, Clinton was here too, plus everyone now knows where Kilimanjaro is.

Unless we still have tourists who do not use the internet in planning their trips then it's almost impossible to miss out on the true location of Kilimanjaro. If there's a website out there that says Kili is in Kenya someone bring it up and I'll have dealt with in no time.

There's no reason to fill bad or low just because Kenya is on CNN. That's called competition. No one is going to monopolize CNN.
 
Tanzania is being let down by its leadership!! Mindset ya viongozi wetu ni kwamba maendeleo yetu yataletwa na wafadhili na ndio maana kila siku wako safarini bowl in hand kwenda kuomba misaada. Tanzania ni tajiri sana kitu tunachohitaji ni to harness both our physical and human potential ili ziweze kutumika vizuri kuendeleza mali tulizonazo. Tuachane na "UANAMTANDAO" kama kigezo cha watu kupewa nafasi za kuendeleza nchi; kigezo kikubwa kiwe uwezo wa mtu na hapo ndipo tunaweza kufanya hayo wenzetu wanayofanikiwa kufanya. Muungwana kama fadhila umekwisha lipa kwa hao waliokufikisha hapo ulipo sasa iliyobaki ni kazi ili nawe uache legacy baada ya muula wako!!
 
Mimi nadhani tatizo letu kubwa zaidi ni kukosa uzalendo.Kuna stori flani ya kuchekesha hapo zamani kuhusu Mkenya na Mtanzania.It goes like this: Kulikuwa na wakandarasi watatu wa mradi wa ujenzi wa daraja.Ilipofika wakati wa kuonyesha mafanikio ya mradi huo Mkenya akaonyesha daraja na bangaluu moja la haja.Akadokeza kuwa licha ya kufanikisha mradi huo,yeye nae amenufaika kwa kujenga kibangaluu chake.Mwingine (again,sikumbuki ni Mkenya au Mganda).Ilipotimu zamu ya Mtanzania,hakukuwa na daraja wala nini bali bonge la bangaluu na vimwana kadhaa.Akajigamba kuwa hela yote ya mradi imeishia kwenye masuala yake binafsi.It's a joke that makes sense.

Kenya kuna rushwa na ufisadi kama ilivyo sehemu nyingine za Afrika na dunia ya tatu kwa ujumla.Lakini angalau wenzetu wanaweka uzalendo mbele katika baadhi ya maeneo.Hao waliopewa mradi wa kuitangaza Kenya watakuwa wamefisadi kidogo lakini angalau wametekeleza jukumu walilopewa.Huo mradi wa matangazo ya London ukiambiwa namna unavyonufaisha watu badala ya nchi utatamani kulia.Kuna watu wamefanya mradi huo kuwa full time jobs zao sio kwa vile wako effective katika fani hiyo bali kuwakilisha maslahi yao na wanaowapa tenda hiyo.

Zimeshafanyika conferences kadhaa hapa London zenye lengo la kuwavutia wawekezaji na kuwashawishi wazawa wachangie uchumi nyumbani.Yetu ilijaa hadithi nyiiingi lakini ukiangalia,kwa mfano,ya Rwanda,usingeshindwa kubaini kuwa hawa wenzetu sio tu walikuwa wamejiandaa vya kutosha bali pia walikuwa wanatekeleza mission iliyo deep in their hearts.Ni vijana wadogo tu ambao kwa hakika wangeweza kum-impress any UK-based Rwandan graduate arudi nyumbani kuchangia maendeleo ya nchi yake.

Angalia msafara wa JK na watalii waliokwenda USA kama delegation ya wafanyabiashara.Yaani mpaka mission town nao walijumuishwa (pengine katika jitihada za kuonyesha kwanini nchi yetu inaitwa Bongo).Wajanja wakachangamka chap chap kutengeneza websites ili waonekane wafanyabiashara halisi (rafiki yangu mmoja alidakishwa pounds kadhaa kumtengenezea website ya chap chap mjanja mmoja aliyepata mwaliko wa safari ya US na JK).I was once told kwamba akina Kinje waliwahi kupewa tenda ya kuwa-encourage vijana wa Kitanzania warejee nyumbani kujenga taifa.One couldnt be serious!

Bila uzalendo,hata tukileta watalii wangapi tutaishia kuwa masikini zaidi na akina Severe (sijui yuko wapi siku hizi) wataendelea kunufaika hapo Maliasili na Utalii.Si mnakukumbuka Mkutanom wa Sulivan ambapo Waziri Mwangunga alijiumauma katika kutoa presentation pale alipoulizwa kuhusu suala la ujambazi dhidi ya Watalii?Na alikuwa na takriban mwaka mzima wa kujiandaa kwa ajili ya shughuli hiyo.

Tanzania ni kituo kizuri sana kwa "watalii" wanaokuja mikono mitupu na kuondoka na mamilioni ya dola.
 
Mlalahoi...I totally agree with you. Unajua tatizo leo ni accountability. Viongozi wetu hawako "serious" na hata waki boronga hakuna wa ku wa hold accountable. Hebu angalia mtu mwenye cheo cha waziri anashindwa ku debate hali ya ujambazi ambayo ..in a fairness angeweza ku argue kuwa vitendo hivyo vya ujambazi dhidi ya watalii ni vichache sana kulingana na lets say Kenya..anatoa stats..halafu angeendelea kwa kusema ni bahati mbaya an incident kama ile kutokea nchini mwetu, lakini katika ku correct mambo, wizara yake pamoja na jeshi la Polisi have done a number of things to make sure that situation na namna hii haijirudii tena. Then ana list hizo initiatives. Anaua mchezo. Lakini ndio matokeo ya kupeana vyeo kwa uswahiba badala ya qualifications.
 
Hakuna lolote.
Ndani kabisa ya Bongo zetu sisi bado wajamaa chapa jembe la mkono, tunachukia ubepari kama siasa kwa nguvu zetu zote wakati huohuo tunahusudu utamaduni wote wa kibepari.
Bado tumelewa mvinyo wa ujamaa, wenzetu wakenya ni mabepari siku zote wanajua maana ya mtaji na neno opportunity.
Mpka matongotongo ya ujamaa yatutoke kwanza ndipo kila mtu duniani atajua Tanzanite inapatikana Tanzania tu, na Tanzania siyo jimbo la kusini lililojitenga kutoka Kenya.
 
Utalii si masihara. Kwa sasa, utalii wa Tanzania dhamani yake kwa mwaka ni US$ 1bn. Wa Kenya ni mara mbili ya hapo. Utalii unaweza kutuletea hata $5 bn kwa mwaka (yaani utalii unaweweza kutuingizia fedha nyingi zaidi ya kahawa, katani, pamba, korosho, chai, etc, combined).

Kenya imetuzidi ELIMU. Kati ya 1967 - 1985 tulibomoa ELIMU wakati Kenya walijenga. Tulitaifisha shule za binafsi wakati Kenya walijenga shule nyingi za HARAMBEE. Kenyatta alipita Kenya yote akijenga shule mpya kwa njia ya HARAMBEE, wakati Mwalimu alipita kila mahali akihamasisha wanafunzi wafanye mchakamchaka na kukazania kilimo shuleni. Chediel Mgonja alimsaidia sana kwa hilo la kubomoa ELIMU.

Kubomoa rahisi, kujenga kazi. Sasa ndio tunaanza tena kujenga ELIMU. Hakuna njia ya mkato.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom