Exposed

Status
Not open for further replies.
Junior Member Array


Join Date : 2nd April 2012
Posts : 5
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0

icon1.png
Baba mwenye nyumba ananitaka nifanyeje


Mume wangu amesafiri yuko uingereza kwa masomo ya miaka 2,tangu aondoke baba mwenye nyumba ameanza kuleta kea nyingi za ajab ajab,mara mboga,mara vocha,mara matunda mara hela,usiku anapenda sana tukae wote until late hours....last month aliniambia kama nataka anaweza hata akaninunulia gari,im between the lines naomba ushauri ndugu zangu,what is the best way to deal with this issue

HIYO NDIO SABABU YA KUTOMTAMANI MUMEO WA NDOA... SIKU UNAAPA MBELE YA PADRI/SHEIKH/MCHUNGAJI ULIKUWA UNA AKILI TIMAMU KWELI.. KAMA JIBU NI NDIO HUNA HAJA YA KUOMBA USHAURI HAPA JF....

 
Mianamke ya aina yako ndiyo tunayapigaga mikasi saana, yaani unaomba ushauri hata kwa hili? it means hujui ufanyeje?
 
Wasikudanganye hapa bibie. Maisha Kama mnaishi vile vile kila siku hata wewe utaboreka na yeye anakuwa bored pia. Fanya kitu tofauti:
1 shughulikia self image yako. Unajisikia mrembo? Badilisha nywele zako, nunua nguo mpya ukibadilisha style kidogo. Viatu vipya vichache. Try something out of ur comfort zone like high heels.

2 badilisha mazingira unayoishi. Badilisha sehemu uliyoweka kitanda, badilisha mapazia na mashuka ukiwa na style mpya (rangi ambayo hujazoea, mfano white is a bit monotonous), ongeza pillows mbili, fanny usafi na hakikisha unapunguza mavitu usiyotumia nyumbani kwako kwa kuwapa wahitaji AMA ndugu zako.

3muambie mumeo unatamani muende kwenye level nyingine. Badilisheni ratiba ya maisha yenu, tafuteni hobby mpya. Tokeni pamoja, hata mchana ukim-surprise na lunch date ukiwa umependeza itakufanya ujisikie sexy and hottt.

I'm getting hot already, kha!
 
Mimi nakushauri wewe mpe tu huyo Mzee mwenye nyumba kwani kuna thread amekujibu Asprini hii hapa kwani inaonyesha hujatulia na huenda umeshammegea[h=2]e: Simtamani tena mume wangu[/h]
quote_icon.png
By Bisek
Mwanzoni haikuwa hivi..kadiri siku zinavokwenda nazidi kukosa hamu kabisa ya kushiriki naae tendo la ndoa,inabidi usiku nijifanye naumwa ili asiniguse,wakati mwingine tunalala kama kaka na dada zaidi ya mwezi kitanda kimoja.



Kwahiyo unataka tukusaidie nini?

1. Kukushauri ili uwe na hamu naye
2. Kukushauri namna bora ya kuomba talaka?
3. Kukutafutia kibuzi kimoja au viwili au ukitaka vingi vya JF viwe vinakulima na kukuranda pale utakapokuwa na hamu
4. Kukupa mbinu bora ya kumkwepa badala ya hiyo ya "kitoto" ya kujifanya unaumwa.

Nakushauri, come this way nikufanyie maombi. Una PEPO baya sana la ngono.
3.​


Kibunango and Mzee wa Rula like this.
 
Mume wangu amesafiri yuko uingereza kwa masomo ya miaka 2,tangu aondoke baba mwenye nyumba ameanza kuleta kea nyingi za ajab ajab,mara mboga,mara vocha,mara matunda mara hela,usiku anapenda sana tukae wote until late hours....last month aliniambia kama nataka anaweza hata akaninunulia gari,im between the lines naomba ushauri ndugu zangu,what is the best way to deal with this issue

Dah!Nilikuwa napita lakini imebidi ni-stop kidogo kwa ajili yako,kwa haya maelezo kuna kitu umeficha, halafu hapo kwenye red ni vertical au horizontal?
 
wewe BISEK umevamia huu mtandao na hujajua undendeshwaje.
leo umepost thread mbili kwenye jukwaa la mahusiano ukasema mume wako yupo uingereza na unatongozwa na baba mwenye nyumba na pili ukasema umemchoka mumeo huna hamu ya kuchapwa nae na sasa upo huku unasaka mchumba lol kijana unasikitisha. jifunze jinsi ya kutuma thread, sio kuingia na kuanza mbio sio facebook huku.
au wewe dume-jike?? jini mahaba???
jipange sawa sawa pumbafu sana
 
unaomba ushauri gani wakati we ni mke wa mtu, ni mwendawazimu tu atakaye kushauri umpe penzi baba mwenye nyumba wakati umeolewa au kama umezoea kutoa ovyo basi mpe ili ukamilishe usemi usemao cha mtu huliwa na mtu na chuma hukiwa na kutu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom