Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Status
Not open for further replies.
Nafikiri inabidi tupate tafsiri ya Mwanaume anaye jiamini ana sifa zipi na yukoje? Sidhani hao wote ambao amekuwa akishirikiana nao kimapenzi hawajafika viwango and they don't have confidante???. Mimi napata kitu fulani kwamba inawezekana nae ana kasoro..... sina ushaidi lakini through grape vine nimepata kusikia kwamba yeye ni Lesbian???? so if there is any one who can prove this should bring the evidence on this esteemed forum.
Jamani tumeumbwa tofauti lakini majority tunapenda kufuata mfumo wa kawaida wa kuoa na kuolewa. Pindi kunapo kuwa na tofauti lazima tuangalie kwa makini. Au ni anze kuamini kwamba all successful women hawaolewi? Ni mie shemiji wenu mtarajiwa!!!! mbioni kutoa posa!
 
Sorry guys nilimaanisha CONFIDENCE! unajua tena typing errors saa nyingine haziepukiki.
 
mizinguo tu hamna lolote mpaka hapo alipofikia najua yupo mtu anayemchakachua kwa hiyo tusidanganyane
 
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo. Source: clouds fm-leo tena. .a

Bana, bana, bana dada Halima vipi mbona unataka kumwigiza Condoleeza Rice?
Honestly I've been one of the long time secret admirers, and I have a crash on you.
Tatizo ni kuwa sijui nitakupata wapi ili tuonane na unisikie.
Sitaki kusikia another Condoleeza Rice tena bongo!!
secret admirer..............sherrif Joe Arpaio
 
Unapoleta habari inayomhusu mtu mwingine ,
ni bora ukatoa maelezo ya kutosha na yanayoeleweka vizuri pia,
lakin ukitoa nusu nusunusu unawafanya hata watu wengine waelewe nusunusu,pia waelewe ndivyo sivyo,
wakielewa ndivyosivyo basi hata comments watatoa kulingana na hayo makosa ya huyo mtoa thread.

Kwa mtu aliyemsikiliza mhe. Halima mdee mwanzo mpaka mwisho,
basi atatambua kuwa hii thread ina mapungufu kadhaa na ndiyo maana ,
hata baadhi ya watu wameyatumia hayo makosa kujibu kimakosa pia.

Madam mtoa hii thread unataka kuujulisha umma nini kilichoongelewa,
na halima mdee basi ingekuwa vizuri sana kama ungetoa mazungumzo yote yaani,
ya mtangazaji (dina marios) + mwulizwaji (halima mdee)
kwa kufuata mtiririko wa swali na jibu basi watu wangeelewa zaidi na vizuri,
kuliko hivi sasa umetoa habari nusu kabisa.ungeonesha swali lililovyokuwa na
jinsi alivyolijibu mwanzo mwisho,lakin hii ya kuchukua maneno machache tena,
ya kati kati tu, siyo vizuri jamani.

hivi kwanini tunapenda kuwafanyia watu wengine mambo/ vitu ambavyo kutoka ndani
ya nafsi zetu wenyewe hatupendi tufanyiwe???. Upendo upo wapi kwa binadamu wenzetu??.

mimi ni mtanzania/binadamu wa kawaida tu na wala siyo ndugu/rafiki/shabiki/mpenzi/jirani/mwanasiasa/ na halima mdee lakin, sijapenda jinsi mtoa thread alivyotoa nusunusu.
 
Suala la afya ni muhimu sana! Unafikiri kwanini Kikombe cha babu kimekuwa maarufu?

aagh bana, huyu wadau wanasema ni lezbian..!!hana shaka kwenye afya,sema kampan lake linantia wasi...si unaona kwenye picha hiyo!!hicho kizee pembeni nasikia ni ''tester''...ukiiweka kwenye ''wire current carrying'' inamulika....
 
Hii nimeipenda yaani inamaanisha hana kashfa za ngono, yeye muda wake mwingi anautumia kwenye kudai mabadiliko, kumbukeni huyu sio mwnamke nyege, na wanawake kama hawa huwa hawakojoi, maana hawajazaliwa kuja kuwa viburudisho vya wanaume. hapa nampa pande John Mnyika aumege huu mzigo watamatch vizuri sana.
wadau wengine punguzeni nyege yeye amewabip tu, huyu mwanamke hana kabisa kiherehere cha kukaa uchi.

kama hakojoi atapata vipi huyo mtoto? Na je kwani Halima ni bikira? Pia kama anataka mtoto si llazima amegwe dry? Na kama haijaingia mara ya kwanza amegwe mara ya pili, kama bado, mara ya tatu, kama bado, ya nne....ya tano...........tisini na tisa
 
I thought JF is a forum for community development but it seems that some members are utterly going off truck. Common thinkers bring issues not personal matters and some of you are using unbecoming words
 
Mimi nimefurahi sana nilipomsikia wakati anaongea redioni bahati mbaya nilikuwa kwenye gari vinginevyo mimi ningekuwa wa kwanza kupost hii habari jamvini.
Nimefurahi kwakuwa amerespond kwenye mada yangu ya jana niliyotaka kujua kama bado kuna haja ya kuoana lakini nikapata upinzani kwelikweli! sasa huyu mwanadada kaeleza vizuri maana ya ndoa na jinsi isivyo ya kukimbiliwa kama fasheni, amenifurahisha sana.
Bahati mbaya sijui namna ya kumpata vinginevyo ningemkaribisha jamvini kutoa elimu zaidi.
 
Nafikiri inabidi tupate tafsiri ya Mwanaume anaye jiamini ana sifa zipi na yukoje? Sidhani hao wote ambao amekuwa akishirikiana nao kimapenzi hawajafika viwango and they don't have confidante???. Mimi napata kitu fulani kwamba inawezekana nae ana kasoro..... sina ushaidi lakini through grape vine nimepata kusikia kwamba yeye ni Lesbian???? so if there is any one who can prove this should bring the evidence on this esteemed forum.
Jamani tumeumbwa tofauti lakini majority tunapenda kufuata mfumo wa kawaida wa kuoa na kuolewa. Pindi kunapo kuwa na tofauti lazima tuangalie kwa makini. Au ni anze kuamini kwamba all successful women hawaolewi? Ni mie shemiji wenu mtarajiwa!!!! mbioni kutoa posa!

Mimi naona unajaribu kuingilia uhuru wa mtu kwakuwa unachosema wewe bwana kajuni ni mazoea ambayo si lazima kila mtu ayafuate, kwa mfano wapo watu wanaoamini mpaka sasa kuwa kitu kizuri ni cha mzungu ( Kwa mfano mtu akifika mahala furani kwa muda unaotakiwa utasikia anajigamba kuwa mimi mzungu bwana lazima ni keep time! au hata kuku akiwa mzuri utasikia bwana kuku wangu huyu ni wa kizungu!)

Sasa wewe kama ni muumini wa yaliyoletwa na wazungu labda halima si mmoja wao anataka kuendesha maisha yake kwa style tofauti. Mimi namuunga mkono kabisa kuwa alicho na uhakika nacho ni mwanaume kumpatia mtoto tu basi haya mambo mengine ya kumilikiana hayana nafasi kwa ulimwengu wa sasa. Kumilikiana kwenyewe huku mnaibiana hakuna mpango (Anaye hifadhi mwingine anayekula kiulaini in the name of nyumba ndogo mwingine!)
 
Na mimi I was about to connect. Sasa unaonaje ukimtafuta maana naona mna mawazo na mitizamo sawa. Maana akizaa na wengine hawakawii kumletea usumbufu. Na utakuwa umesaidia jamii maana hawa wadada "nataka kuzaa tu" ni mabingwa wa kuzaa na waume za watu na kuharibu ndoa za watu!

Mimi nimefurahi sana nilipomsikia wakati anaongea redioni bahati mbaya nilikuwa kwenye gari vinginevyo mimi ningekuwa wa kwanza kupost hii habari jamvini.
Nimefurahi kwakuwa amerespond kwenye mada yangu ya jana niliyotaka kujua kama bado kuna haja ya kuoana lakini nikapata upinzani kwelikweli! sasa huyu mwanadada kaeleza vizuri maana ya ndoa na jinsi isivyo ya kukimbiliwa kama fasheni, amenifurahisha sana.
Bahati mbaya sijui namna ya kumpata vinginevyo ningemkaribisha jamvini kutoa elimu zaidi.
 
Yeye anataka mtoto ambaye atamlea peke yake (Single Parent) hajui kuwa wengine tunataka mtoto atakayelelewe na wazazi wote kwa ajili ya maadili na malezi bora. Single parent iwe pale panapolazimishwa na natural circumstances lakini siyo kujitakia. Mimi sipo tayari kuzaa tu mtoto na kumwacha kwa mama yake. Iga mfano wa Dr. Slaa fikiria kuolewa.

Unataka kusema watoto wanaolelewa na single parent hawana maadili?! mbona una mawazo ya kale mkuu?! hata kama mzazi mmoja ni mlevi anarudi nyumbani kajisaidia nguoni na huku anatukana matusi ya nguoni ili mradi bado yuko na mzazi mwenzie atwaadilisha watoto wake??
 
Yatoke wapi? Kama wapo ni mmoja kati ya kumi. Mtoto anashuhudia mama anaingiza kila aina ya mwanaume ndani what do you expect. Si mara kumi baba anayejinyea kwani watoto wataiga kunya?

Back
Top Bottom