Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Status
Not open for further replies.
Tumshauri asiogope kuolewa kwani wanaume wanaojiamini wapo tena wenye komitment, kuzaa hovyo ni uchafu zaidi
 
Simple and cheap mind discusses people's personal life!!! Are we that cheap guys? Discussing personal effects of our lady MP? Mods wakati mwingine huwa nashangaa thread nyingine mnaziacha, nyingine mnafuta mnasema eti ni personal attacks!!
 
Ujinga huu kwanza uyo mtangazaj amejichanganya. Badala yakumuuliza maswala ya maendeleo anamuuliza mambo ya ndoa! Wabongo Bwana
 
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo.

Source: clouds fm-leo tena

====================

Dina Marios(dm): TAMKO LA MHESHIMIWA HALIMA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE...

Mheshimiwa Halima James Mdee mbunge wa kawe amezaliwa Mwaka 1978 ana shahada mbili za sheria moja aliipatia katika chuo kikuu cha dare s salaam nay a pili katika chuo kikuuu cha cape town Afrika ya kusini.

Kitaaluma ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu kutokana na kazi za kisiasa taaluma yake ya kisheria anaitumia kwa muda mchache sana.

Mahusiano yake ya kifaragha....

Halima hajaolewa wala hana mchumba ila anatamani sana kupata mtoto na anapanga kupata mtoto hivi karibuni hata kama atakuwa bado hajaolewa.Anasema hajapata mtu ambae anasifa anazozitaka yeye ili kuishi nae mpaka uzeeni kama mume na mke yeye ndoa anaona ni jambo kubwa la commitment ya milele hivyo anahitaji mtu sahihi na si kukurupuka.'

'Kuna watu wapo kwenye ndoa lakini ni wezi tu wanawake wana wanaume wengine nje ya ndoa na wanaume kadhalika wana wanawake wengine nje ya ndoa.Sasa kiapo mlichokila kwa shekhe au padre kina tija gani?kwa nini uwe katika ndoa iliyojaa uongo??''alisema.

Halima anahitaji mwanaume anaejiamini, mtu asimuone yeye ni mbunge na msomi akamuogopa mapenzi ni kitu cha ajabu sana hayachagui cheo, ukubwa wa umri wau muonekano kwa nini mwanaume atishwe na cheo chake? Mwanaume atakayempenda na kumkubali yeye na asitishwe na majukumu aliyonayo kiserikali huyo ni mtu sahihi kwake.

Ndoa inapangwa na mungu na kama mungu amempanga mume fulani kwa ajili yake atakuja.Na wakati wote ambao unasubiri unatakiwa uwe unaishi katika misingi ya kujiheshimu.Wanaume wamejaa sana ila sio kuokoteza kisa unatafuta mtu sahihi.

God bless you Halima, usikonde Mungu kakuandalia dume la nguvu ili mjenge familia bora, wanaume mnaojiamini mchumba huyo.

Khaa....Born on 18 March 1978)???!!.
..mboni bado mdogo kuanza hayo mambo!?
 
Ujinga huu kwanza uyo mtangazaj amejichanganya. Badala yakumuuliza maswala ya maendeleo anamuuliza mambo ya ndoa! Wabongo Bwana

usikurupuke ndugu,jiulize kilikuwa ni kipindi gani? Clouds fm wana vipindi/sessions nyingi, usitegemee session ya heka heka walete plan za ujenzi wa daraja la kigamboni, ala za roho cha usiku wa sa4 walete kipindi cha maendeleo ya taifa. Kila kitu kina muda wake.
 
Ujinga huu kwanza uyo mtangazaj amejichanganya. Badala yakumuuliza maswala ya maendeleo anamuuliza mambo ya ndoa! Wabongo Bwana

usichanganye ndugu,jiulize kilikuwa ni kipindi gani? Clouds fm wana vipindi/sessions nyingi, usitegemee session ya heka heka walete plan za ujenzi wa daraja la kigamboni, ala za roho cha usiku wa sa4 walete kipindi cha maendeleo ya taifa. Kila kitu kina muda wake.
 
Kama ndivyo, Mdee Halima hajawahi kufikishwa kileleni (orgasm). Studies zinaonyeshwa ni mimi pekee na wanaume wachache wanao wafikisha wenzi wao kilele. Mama S nae analalamika, kwa nn kaolewa na JK maana mambo hayawezi. HALIMA njoo kwangu na hautajuta ila utajilaumu kwa nn hukunitafuta mapema. Mawasiliano nyamkundugulu@yahoo.com
 
tunamtakia kila la khri lakini asitukane wanaumme kuwa hajakutana ambaye anajiamini yeye aseme hajakutana aliyempenda................
 
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo.

Source: clouds fm-leo tena

====================

Dina Marios(dm): TAMKO LA MHESHIMIWA HALIMA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE...

Mheshimiwa Halima James Mdee mbunge wa kawe amezaliwa Mwaka 1978 ana shahada mbili za sheria moja aliipatia katika chuo kikuu cha dare s salaam nay a pili katika chuo kikuuu cha cape town Afrika ya kusini.

Kitaaluma ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu kutokana na kazi za kisiasa taaluma yake ya kisheria anaitumia kwa muda mchache sana.

Mahusiano yake ya kifaragha....

Halima hajaolewa wala hana mchumba ila anatamani sana kupata mtoto na anapanga kupata mtoto hivi karibuni hata kama atakuwa bado hajaolewa.Anasema hajapata mtu ambae anasifa anazozitaka yeye ili kuishi nae mpaka uzeeni kama mume na mke yeye ndoa anaona ni jambo kubwa la commitment ya milele hivyo anahitaji mtu sahihi na si kukurupuka.'

'Kuna watu wapo kwenye ndoa lakini ni wezi tu wanawake wana wanaume wengine nje ya ndoa na wanaume kadhalika wana wanawake wengine nje ya ndoa.Sasa kiapo mlichokila kwa shekhe au padre kina tija gani?kwa nini uwe katika ndoa iliyojaa uongo??''alisema.

Halima anahitaji mwanaume anaejiamini, mtu asimuone yeye ni mbunge na msomi akamuogopa mapenzi ni kitu cha ajabu sana hayachagui cheo, ukubwa wa umri wau muonekano kwa nini mwanaume atishwe na cheo chake? Mwanaume atakayempenda na kumkubali yeye na asitishwe na majukumu aliyonayo kiserikali huyo ni mtu sahihi kwake.

Ndoa inapangwa na mungu na kama mungu amempanga mume fulani kwa ajili yake atakuja.Na wakati wote ambao unasubiri unatakiwa uwe unaishi katika misingi ya kujiheshimu.Wanaume wamejaa sana ila sio kuokoteza kisa unatafuta mtu sahihi.

God bless you Halima, usikonde Mungu kakuandalia dume la nguvu ili mjenge familia bora, wanaume mnaojiamini mchumba huyo.

Una expect nini kutoka kwa mtu ambae katibu mkuu wake ni mzinifu?

Anaitangaza hasa haramu ya kuzaa nje ya ndoa.

Huyu hili jina la "Halima" ni la kupachikwa tu.
 
Weweeee hii picha ya Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh.S.......bi umeipata wapi?- Sikonge naomba uipeleke kule Lagangabilili p'se
 
Hizi sasa ni GOSSIPS NA POROJO HUMU JAMVINI, Guys why don't we come with ideal rather than these stories?

we mpuuz nn unajua uko jukwaa gani? nenda intelligence forum au jukwaa la elimu hapa story na umbea wa celebrities tu!!!
 
Si yupo kamanda Sugu amuonee huruma tu jinsi anavyozaa na vichaa akina Faiza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom