Ex wangu Kamuacha mume wake Anataka tuludiane

Maoni gani sasa fanya vile moyo wako unapenda na kuzaa mlishazaa
 
Hi ni sawa na mwanajeshi mwenye cheo kaondoka kambini kaenda nchi nyingine kwenye kambi zakigeni sasa hatujui karudi kambini
1alikotoka hawana uwezo kama wa hapa
2amekuja kupumzika akitafta kambi nyingine
3ametumwa kuperereza
Eeeh shida kwakweri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na mpenz wangu Nikazaanae mtoto mmoja Tukashindwa kufunga ndoa Kikwanzo din tofauti , Akatoke mume Mwislam mwenzake wakafunga ndoa wakaish Mwaka mmoja kwenye ndoa, Amemuacha mumewe Anata tuludiane na Mimi Naombe maon

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe atakuacha km huyo jamaa!huyo ni nyoka shimoni ndo nyumbani kwake,lazima arudi.wacha kuwa huamin amini km kenge hadi uone damu kwenye maji ndo ujue raia wamekupiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabla ya kutoa mawazo yangu natanguliza samahani kwa maneno yangu yanayofuata.
.
Ulimzalisha akaolewa na mtu mwingine yule mwanaume aliemuoa kwa kukuzidi kigezo cha dink ni tahira kuliko yule wa ubungo mwenye donda, aliowa galasa likamshinda HUYO MWANAMKE ASIKUDANGANYE YEYE NDIE KAMUACHA HUYO KAACHWA.
.
Na inapoelekea ule ujinga wa mwanzo wa yule jamaa unahamia kwako kashamtumia vya kutosha (effectively) anakuachia na wewe, pengine ni mimi tu mwenye udhaifu huu mkuu (MWANAMKE AKITUMIWA NA MWANAUME NINAEMFAHAMU SIWEZI MTAKA ABADANI)
yani awe anatumika nashuhudia kwamba yule ni mwanamke wa mwafulani.
KABISA HUU UJINGA...YAANI NIJUE TU HUYU MWANAMKE ALIPITA KWA FULANI...HAPANA AISEE HATA TAMAA NAE SINA...LABDA ALIOLEWA KIRASMI KABISA AKAACHIKA AU AKAFIWA ALAFU NI MWEMA...ILA ALIKUWA ANAZINIWA TU...HAPANA NAMUONA MCHAFU SANAAAA...
 
Mlikua pamoja, akakuacha na kwenda kuolewa kwingine, huko napo kaacha anataka kurudi kwako... akipata mwingine atakuacha tena...

Usirudie makosa...


Cc: mahondaw
 
NARUDIA..... KUZAAA NA MWANAMKE, HAKUTOSHI NA KAMWE HAKUTOTOA SABABU KAMILI YA KUOANA.

MAISHA YA NDOA NI ZAIDI YA SANA.

NDO MAANA WAPO WANAOOA WALOKWISHA ZAAA ,WANAOA SABABU TU KESHAONA MWANAMKE NI MWEMA NA ANAFAA KTK.MAISHA.


WAPO WALOZAA SABABU MIMBA ILIGOMA KUNYOFOKA, MWINGINE ANAZAAA ILI AKUPE SABABU YA KUOLEWA AKIJUA HAUTACHOMOKA.

SASA BASI
SIKI ZOTE MBOOO IKISHASIMAMA, BASI UBONGO HAUFANYI KAZI.

KWA CASE YAKO... KWANZA HUYO BADO NI MKE WAMTU, ACHA KUTAFUTA MATATIZO.HADI PALE UTAKAPOJIRIDHISHA KISERIKALI KUA SIO MKE WA MTU.

PILI, SASA KAMA KAOLEWA NA WADINI YAKE... NINI KILICHOMTOA???HATA AKUKUMBUKE WEE USOKIA WADINI YAKE,NA ALOKUKATAA ?????

NIKWELI WEWE HAPO ULIPO NAKWAMUDA HUO WOTE HAUNA MWANAMKE?????????????.


KWAUFUPI, KAMA UNAMWANAMKE WAKO, NABADO ILI UMELIKARIBISHA BASI WEEE NA HUYI DEMU NI MAPOPO A.K.A MABOYAAA.


anyway km vipi mrudie.lkn uishi kwa matumain kua sasa atakupenda ....... Ila binafsi niseme KAMA MLIZAA NA BADO AKAKUKIMBIA KISA DINI NA AKAENDA KUOLEWA NA WADIM WAKE AKIWA TAYAR KUUZA JINA LA BABA KWA MTOTO ...HAFAI HAFAI HAFAI HATA SIKU MOJA KUMFANYA MKE.

ATAKUKIMBIA TENA..MIND YOU...KILICHOMTUMIA HUKO SAAAAAAANA ni alichokitegemea hajakipata/ AU MITABIA YAKE MIBOVU/AU BASI AMEkukumbuka ..( Tusemeje sasa)

Akili kichwan kwako
 
Back
Top Bottom