Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena.
Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa!
Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!