Ex-GF wangu kaolewa jana

Mtu B

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
919
51
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena.

Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa!

Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
 
Wivu huoni lakini roho inauma. Ulimwachia nini?

Umegeuka hadithi ya Sungura na Zabibu, alipoona hawezi kuzipata akasema 'sizitaki zile mbovu'

Pole sana yeye amemchagua mwenyewe bila ya kulazimishwa.
 
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!
 
Onyesha heshima kwa mume wa huyo dada!
 
We vipi mzima kweli
Yeye anajua anachokipata ndo maana kamchagua
na alikupiga chini maana wewe ndo ulikuwa huna sifa za kuwa naye
alah....
 
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!

dah.....naweza nikakuelewa vizuri tu...pole sana.....ambao hawajawahi kukutwa na hali hii hawawezi kukuelewa.......jitahidi uwe busy usahau hayo mambo........ni hilo tu kutoka kwangu
 
Samahani mkuu, nimeeleza tu hisia zangu kwa nilichoona alhamisi 9 Dec 2010

Hizo ni hisia zako tu.. wenyewe sasa hivi wako mwezi wa asali wanakamuana kwa raha zao!!

grow up and accept kwamba sio wako tena
 
We vipi mzima kweli
Yeye anajua anachokipata ndo maana kamchagua
na alikupiga chini maana wewe ndo ulikuwa huna sifa za kuwa naye
alah....

Mi nimesema tuliachana, hayo ya kupigwa chini umeyaleta wewe. Bado nasisitiza kilichotokea jana ni a total mismatch, to the disadvantage of the dear sister. Kwa mtazamo wangu, she deserves better, siyo type ile kabisa. Nahisi kakosa uvumilivu tu.
 
dah.....naweza nikakuelewa vizuri tu...pole sana.....ambao hawajawahi kukutwa na hali hii hawawezi kukuelewa.......jitahidi uwe busy usahau hayo mambo........ni hilo tu kutoka kwangu

Asante dadangu, yani asante sana.
 
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...
 
this should have been brought to our attention 5 years ago
 
tuwekee picha tuone (yako na hao couple) kama kweli hawaendani......otherwize ni wivu tu wa kujiona we uko juu kuliko huyo!!akward
 
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!

Dont judge a book by its cover... binti mwenyewe ameshamchagua na anaona anamfaa
 
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...

:hail:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom