Mpaka sasa huyu kijana hakupendi hata kidogo. Anakuitaji kutimiza tamaa zake tu. Usikubali kamwe kupotezewa muda wako na mwisho utazeeka bila ndoa. Ameshayatafuta maisha yake, yupo na familia yake achana nae. Muombe Mungu akupe mzuri kuliko yeye ili nawe uwe na familia yako. Bora kupoteza pesa utatafuta tena kuliko kupoteza muda haurudi tena.
ninacho kiona bado anajinamizi la maufundi,mautamu na marojorojo aliyokuwa akipewa na huyo mjamaa,that's way anaendelea kuyatamani hatakama anajua mchizi ana wife in the house hapa anazuga tu,anaendelea kupigwa show tu,na kwa kuwa since jamaa ameoa mpaka sasa si kweli kama hakutoa pande kwa mijamaa mingine shida kakosa yale maladha aliyo kuwa anayapa kwa Mr wa mtu,kwakuwa hakuna namna nyingine,mimi nasema utaliwa tu,nauliwe tu:welcome::rockon:
Sawa,sasa hapo tunakusaidia nini? Pia rekebisha head hapo sema mume wa mtu anakutaka sio x b,pia acha ujinga unatia watu hasira ndio mana hamuishi vilio vya kudanganywa na kutelekezwa!,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.