The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,444
- 8,311
Hii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
Wanaume wa DarHii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
View attachment 2791749
Ahsante 😅 😅 😅Rusha kofi nkupige kata funua moja ya moto ukatafte meno kwa tochi.
Dunia ina mengiAnother one..
Mtutajie location basi nasisi tukafaidi.
Location lazima itakua daslam...😜Mtutajie location basi nasisi tukafaidi.
Mtufanyie nyie sasa vitu adimu kama hivyo, sio mnaishia kupiga marufuku tu kama serikali za mitaa.Jamaniiiiii! Ndio nimetoka kumpiga marufuku mtoto wa mama mkwe kukanyaga hizo salon!
Asijichanganye kabisa