Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

raha duniani, pengine unakuta shetani alikupitia ukaowa mwanamke ana mikono migumu sasa kwenye iyo saloon unakosaje
 
Jamaniiiiii! Ndio nimetoka kumpiga marufuku mtoto wa mama mkwe kukanyaga hizo salon!
Asijichanganye kabisa
Ha ha ha haaaa! Hongera sana B... kwa kufanya uamuzi huo, maana hayo ni majaribu. Kwani mtu akiongozana na mkewe bado huduma zitaendelea kutolewa kwa mfumo huo?

Ova
 
Mimi nkishawekewa kichwa katikati ya matiti....halafu wanasehemu zao wakikushika wanachokonoa hisia....siku hizi nimeshaacha kwenda hizo saloon
Lol! Kumbe tuko wengi tuliolazimika kuacha kwenda salon kwa huduma kama hizi? Mimi siendi tena kwa maslahi ya mahusiano yangu.

Ova
 
Another one..
1698194987922.png


Kiyonzo kaone bora amzibe macho atulie, mimi ningekuwa namkata mambata kazidi kugeukageuka...
Anyway hapa ni wapi nikapange foleni...
 
Maisha yalivyo na stresss ... ukifatana sana na mmeo/mpenz wako utamwongezea spidi ya kuwaza mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom