Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

Hii huduma ni bora sana, sema tu malaya wameivamia.
masaji ni dawa ikiwa utafanyiwa na mtaalam na anayejua kazi yake.

Sema wadada nso wamejipatia ajira kwa ulimbukeni wa wanaume
Ni kweli Mkuu, mimi mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na mishipa ya damu kwenye shingo ilikuwa inauma balaa, baadaye shingo nalo likakaza. Nikaambiwa na Daktari nitafute sehemu yenye Massage Center nikaitafuta na kwa bahati nikaipata. Nilifanyiwa massage na huyo Mtaalam (Wa kike) yaani hadi leo sijaumwa tena. Hiyo ilikuwa mwaka 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom