Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

Hakuna cha ajabu. Mimi nafanya sana massage na kwenda saluni za namna hiyo. Sijawahi kuomba ngono wala kuhamasika kibwege. Ninafuata lililonipeleka. Huduma ikiwa nzuri natoa tip. Siombi namba wala kumbugudhi binti wa watu. Tatizo waafrika mindset zetu ni ngono tuna sexualise kila kitu.
 
Amri ya 9 Usitamani mwanamke asiye mke wako. Wanaume tu ndio tunasemwa kila mahala Duh!
 
Rusha kofi nkupige kata funua moja ya moto ukatafte meno kwa tochi.
Kama ni ngori, ukwende ujifunze kufanya hizi mavitu uwe unanifanyia maskani.

Though on a serious note, ukikwenda mwenyewe ukakubali kufanyiwa hivi ni kujitaftia mapepo tu.
Hahah unampiga Banzi moja heavy . Haha
 
Back
Top Bottom