Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
na ni ngumu kwelikweli.kazi imeanza
na ni ngumu kwelikweli.kazi imeanza
Bora spika wa zamani kimakonde kinapanda je jenista aliyezoea kupokea miongozo ya kina Lusinde wa form seven?wanataka kuona na spika...wangeongea naye kwa kiswahili au kingredhaa...
Kwa level ambayo mgogoro huu umefikia sasa inatakiwa rais kikwete aingilie kati.Kikwete amekua na historia ya kwenda tofauti kidogo na maamuzi ya wanachama wenzake wa CCM,tukumbuke kwamba wana CCM karibu wote walikua wanapinga ishu ya kuundwa kwa katiba mpya,ni kikwete ndiye aliyeamua kwamba katiba iundwe.
Kwa mtazamo wangu,huu ni wakati mwafaka raisi asiridhie hii sheria pale itakapopitishwa na wabunge wa CCM.Kutokutia sahihi kwake kuwe ni sababu ya kuurudisha kwa wannchi ili kuweza kupata "People owned Constitution". Kama Rais hatasoma alama za nyakati,hii issue itakua ni mgogoro mkubwa sana hapo baadaye.
Nawasilisha.
akina lusinde?Usiwe na hofu wakalimani wapo wengi tu.
Unamwamini huyo? janja yake huwa hataki kuonekana mbaya atalianzisha then yeye anasikilizia akiona moto anajifanya si yeye, kumbuka alivyowageuka kina EL kwenye mtandao, umesahau kaanzisha dhana ya Gamba lakini wanaoumia ni kina Nape yeye amejiweka pembeni.Kwa level ambayo mgogoro huu umefikia sasa inatakiwa rais kikwete aingilie kati.Kikwete amekua na historia ya kwenda tofauti kidogo na maamuzi ya wanachama wenzake wa CCM,tukumbuke kwamba wana CCM karibu wote walikua wanapinga ishu ya kuundwa kwa katiba mpya,ni kikwete ndiye aliyeamua kwamba katiba iundwe.Kwa mtazamo wangu,huu ni wakati mwafaka raisi asiridhie hii sheria pale itakapopitishwa na wabunge wa CCM.Kutokutia sahihi kwake kuwe ni sababu ya kuurudisha kwa wannchi ili kuweza kupata "People owned Constitution". Kama Rais hatasoma alama za nyakati,hii issue itakua ni mgogoro mkubwa sana hapo baadaye.
Nawasilisha.
Bora spika wa zamani kimakonde kinapanda je jenista aliyezoea kupokea miongozo ya kina Lusinde wa form seven?
Nadhani weupe wanawasiwasi na miradi yao ya kifisadi iliyopo nchini!!