eti twin wake anataka anitulize mawazo. nimkubali?

I cont do that, home sku zote walikua against relationship ye2. so nilitaka kuwaprove wrong. siwezi kuwaambia. thro washanotes thomething z wrong 2 me bt huwa nawaambia tuko ok

samahani dada kama nitakuwa nimekuudhi upo kidato cha ngapi ?maana huu uandishi na unachoomba ushauri vinaendana nimekuona hauko makini na ushauri kutokana na uandishi wako unakuwa kama mhuni fulani halafu kila ushauri unaopewa unaonesha dhahiri kuwa umeshafanya maamuzi sasa kwa nini uwakunishe watu kichwa kwa kutoa ushauri badilika uwe kama mwana jf halisi
 
Back
Top Bottom