kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 650
weeee mkuuu usisemeee mioyo ya watu hapa dar kuna wadada huwa wanauza mihogo mibichi posta kwa ajili ya kutafuna tu na wanaume ndo wanaongoza kula, nimeshuhudia kwenye foleni ya magari upande wa baharini watu wamepaki gari wanamenyewa muhogo watafune.........
Mkuu jioni kwenye foleni ya kuelekea Tazara kuanzia kiwanda cha sigara mihogo ya kutafuna imejaa kibao!