Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau naomba mnisaidie kujua umuhimu wa kula nyama ya pweza na kunywa supu yake...

Na muhogo mbichi unasaidia nini ukiula?.
 
1.Supu ya pweza unapata protini mwilini ambayo kazi yake ni kujenge mweli
2.Muhogo mbichi ni chakula cha wanga hivyo kazi yake ni kuongeza nguvu mwilini
 
mkuu, pamoja na hiyo, supu ya pweza inasaidia kuwa strong kwenye mambo yetu yaleeee!!, unapiga gemu bila kutepeta!, ni kama viagra flani hivi.
jaribu mkuu, safi sana ila uwe na uhakika!.
 
1.supu ya pweza unapata protini mwilini ambayo kazi yake ni kujenge mweli
2.muhogo mbichi ni chakula cha wanga hivyo kazi yake ni kuongeza nguvu mwilini

haha sidhani kama alikuwa na maana hiyo loh kuna zile maana za uswahilini ya kuhusu maluv davi
 
Wadau naomba mnisaidie kujua umuhimu wa kula nyama ya pweza na kunywa supu yake...

Na muhogo mbichi unasaidia nini ukiula?.

Kwanini ule muhogo mbichi aisee? Tumbo si litakuuma sana? Karne hii ni wachache sana wanaokula muhogo mbichi kama wapo.
 
weeee mkuuu usisemeee mioyo ya watu hapa dar kuna wadada huwa wanauza mihogo mibichi posta kwa ajili ya kutafuna tu na wanaume ndo wanaongoza kula, nimeshuhudia kwenye foleni ya magari upande wa baharini watu wamepaki gari wanamenyewa muhogo watafune.........
 
wanauhakika hao wakitoka hapo............, mambo yetu kama kawaida!!
 
mkuu, pamoja na hiyo, supu ya pweza inasaidia kuwa strong kwenye mambo yetu yaleeee!!, unapiga gemu bila kutepeta!, ni kama viagra flani hivi.
jaribu mkuu, safi sana ila uwe na uhakika!.

teh. teh............. wajina bwana we mkali, hebu ni PM hii imekaaje sikuwa najua huku kwetu hakuna hizo pweza........ da mjini raha sana sisi huku hadi mkuyati ,

teh,, teh..
 
Nilijaribu kunywa supu ya pweza nilishindwa dahh naona ni za watu wa pwani hizo maana nilikuwa na game tight siku hiyo nikashauliwa kupasha na supu ya pweza nikachemka kabisa.
 
Mkuu ile sup ni balaa Lazima upige Hatric ila tatizo ulikamia gemu kaka ndiyo reason ulichekemka.
Try next tym alaf Relax.
 
Nilijaribu kunywa supu ya pweza nilishindwa dahh naona ni za watu wa pwani hizo maana nilikuwa na game tight siku hiyo nikashauliwa kupasha na supu ya pweza nikachemka kabisa.
Ulichemkaje Fidel,yaani nonino ilikataa kuninhii?
 
Uncooked starch (yaani miogo mibichi) is never digestible by your body....! it is as good as eating sand. Digestion of any starch starts from the mouth whereby it is mixed by Saliva (mate ya mdomoni) where it breaks down the starch.

So eating any uncooked starch is as good as eating nothing and indeed it may couse harzoud heath effects including malnutrition since you may feel like your stomach is full but in realitity its feeled with useless non nutritions food.

My advice for you is to make sure the starch you eat is well cooked and well prepared.
 
Back
Top Bottom