Eti, mtoto akiwa anaumwa hakuna mechi?

LadyG inategemea no how serious huyo mtoto anaumwa kwa kweli si unajua watoto wengine wanadeka tu..maana ukifanya hivyo ndo utakuta kwa mwezi mara moja!
Ndiyo mara leo ooh kaanguka akicheza nage kachubuka, kesho kapigana na Mariamu walikuwa wanagombea nani aanze kuruka kamba, wiki ijayo kichwa kinauma alicheza sana shuleni, inayofuata tumbo kala maembe mabichi, then ooh matak yanauma alichapwa na mwalimu :redface::redface::redface:, then malaria tena ile 0.5 parasites...
Matokeo yake mnaanza kutiana vishawishini!
Mhh..ivi kwa hali hii ntakuja kuoa kweli!??? apa unaamua infii kwa kwenda mbele... (watu weweweeeeee.. Asprin na Kaizer)

eh mentor umeniacha hooi hapo. kwani wewe utakuwa unaoa kwa ajili ya kazi moja tu ya kulalana?? kama hiyo ndio maana ya mke kwako si bora uendeleze kutafuta mwanamke kila unapofikwa hamu kuliko kuwa nae ndani hata kama huna shughuli nae? pamoja na kuwa hiyo sababu ya mila inaweza isiwe ya msingi kwa hyuo mume lakini kama mtoto ni mgonjwa kweli wazazi mnapata wapi nyegee?? au ndio ile dhana ya wazazi wanaume kutokujali kuh watoto wao huo ni ubinafsi wa hali ya juu
 
hizo mila na desturi kazisingizia, labda aseme kuwa hawezi kufanya sababu ana stress za kuugua kwa mtoto. kama mtoto yupo hali mbaya sana hata huyo baba sidhani kama angetamani hiyo mechi mpaka akafikiria na kutoka nje. lakini kama malaria ya kawaida, mmh!
 
jamani !sasa huyo mwanaume yeye kuumwa kwa huyo mtoto hakujampa stress?

Chezea wakiume wewe...hawanaga hiyo labda ya kupretend tu.., ikiwa wengine hata mke akiwa mgonjwa anataka sembuse mtoto. linapokuja suala la sex men can do unthinkable!! welcome to manhood
 
Chezea wakiume wewe...hawanaga hiyo labda ya kupretend tu.., ikiwa wengine hata mke akiwa mgonjwa anataka sembuse mtoto. linapokuja suala la sex men can do unthinkable!! welcome to manhood

Hapo kwenye Red ni kweli kabisa tena unakuta mwingine ananuna kabisa kwa nn unaumwa, na usipokuwa mwangalifu siku hiyo hata watoto watapigwa bila sababu kwa hasira za kujua atakosa kula kitumbua usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom