Eti, mtoto akiwa anaumwa hakuna mechi?

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kuna rafiki yangu ameniambia kuwa anapata tabu ya kutafuta loose ball kwa kuwa mkewe hataki kucheza mechi kwa kuwa mtoto wao anaumwa malaria..., nikashangaa nikamuuliza kwani mtoto akiumwa kuna tatizo gani, eti anasema mkewe amemwambia mila na desturi za kwao haziruhusu kupeana majambozi katika kipindi cha huzuni kama vile, kifo, ugonjwa, mtoto anaweza ku-died.
 
Kwenye majamboz tuambiane ukweli. Mwanamke anahitaji utulivu wa ubongo pamoja na mood inayofaa kwenye majamboz. Ni wazi kabisa kama mtoto ameumwa lazima mawazo ya mama yatavurugika na hatakuwa kwenye mood ya sex.Alivyojieleza huyo mwanamke aliyeombwa mavituz ni njia tu ya kukwepa sex na mumewe ila ukweli ni kwamba mama hakuwa anajisikia kucheza mechi.

Jamani wanaume,karne zote tumeishi hapa duniani bado mnashindwa kuwaelewa wake zenu????
 
Sio mbaya alivyosema ila ameshindwa kujieleza mama,lakini hata mie mtoto kama mtoto anaumwa hasaa hamu ya Sex haipo,
na kama unafanya basi unafanya kwa ajili ya huyo mwenzio tuu lakini sio vyenginevyo.....
 
Mentor hata wewe mtoto akiumwa bado utakuwa na hamu ya mechi Lol ?
LadyG inategemea no how serious huyo mtoto anaumwa kwa kweli si unajua watoto wengine wanadeka tu..maana ukifanya hivyo ndo utakuta kwa mwezi mara moja!
Ndiyo mara leo ooh kaanguka akicheza nage kachubuka, kesho kapigana na Mariamu walikuwa wanagombea nani aanze kuruka kamba, wiki ijayo kichwa kinauma alicheza sana shuleni, inayofuata tumbo kala maembe mabichi, then ooh matak yanauma alichapwa na mwalimu, then malaria tena ile 0.5 parasites...
Matokeo yake mnaanza kutiana vishawishini!
Mhh..ivi kwa hali hii ntakuja kuoa kweli!??? apa unaamua infii kwa kwenda mbele... (watu weweweeeeee.. Asprin na Kaizer)
 
Last edited by a moderator:
wanaume mnapenda game niaje mwee, sie wenzenu tukishakuwa na stress kdg hatuwezi Mentor@Asprin
 
Last edited by a moderator:
wanaume mnapenda game niaje mwee, sie wenzenu tukishakuwa na stress kdg hatuwezi Mentor@Asprin

Hivi nyie huwa hampendieeee!???:eek2:

Halafu game ndiyo stress remover kama panadol kwa maumivu ya kichwa..sa we unaumwa afu hutaki kumeza dawa.
 
akuuu ukiwa na mawazo haipandi, ni kama kulazimisha kula chapati kwa mkate Mentor
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu ameniambia kuwa anapata tabu ya kutafuta loose ball kwa kuwa mkewe hataki kucheza mechi kwa kuwa mtoto wao anaumwa malaria..., nikashangaa nikamuuliza kwani mtoto akiumwa kuna tatizo gani, eti anasema mkewe amemwambia mila na desturi za kwao haziruhusu kupeana majambozi katika kipindi cha huzuni kama vile, kifo, ugonjwa, mtoto anaweza ku-died.

Inawezekana mama hajasikii vizuri kutokana ugonjwa wa mwanaye. Hata hivyo, inakuwaje huyo mume anataka kupasua raha katikati ya taabu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom