Eti Mashuga mami yananyonya

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Nilikua naangalia kipindi cha wanawake live wiki hii chanel 5,
nikakutana na maneno kuwa mashuga mami yanapofanya mapenzi na serengeti boy wanawanyonya damu
kwa sababu ya tofauti ya umri wao.

kuna ukweli wowote? tujadili
 
Haya Serengeti Boys, mlokua na shuga mami ebu mtoweni mwenzenu wasiwasi,manake ukiwa na shuga mami mnakwenda kupima damu iko ngapi na baada ya miezi kadhaa unaenda kuangalia tena kama imeshika au laa,mie nadhani hao walikua wanamanisha CD4 kama zimeshuka au ziko sawa.
 
Sidhani, la sivyo tungekuwa na wagonjwa kibao wenye upungufu wa damu, maana naona hii style imepamba moto
 
cdhani kama ni sahihi kwa hilo na kama ingekuwa hivyo watu wasingeishi
 
Kuponda ponda wamama humu ndani
mnatuboa wengine.....
Mtu ukishafikia miaka 21 ni mtu mzima
so yeyote anaetembea na mwanamke wa umri yeyote ile
as long as umri ni miaka 21na kuendelea
ni haki yake....
Tuache kuponda ponda vitu kwa kuwa huviwezi...
 
dah, kama k zao zinanyonya basi izo k zitakuwa mnato ile mbaya afu zitakuwa tamu sana serengeti boys hawawezi kuacha kabisa...hata mimi napenda lishugamami linalonyonya kihivyo...manake nitainjoi sana.
 
Mimi hainingii akili, kuwanyonya vipi damu? Mimi zamani nilikuwa nasikia eti ukiona kimbunga kinazunguka ukaweka ungo katika kile kimbunga utaona jini! Imami kama hizo zipo nyingi lakini hazina ukweli.
Ukweli katika jmabo hili ni huu hapa, miili ya watu wazima kuanzia 35 - 45 ina utofauti na mabinti wa miaka 20 - 34. Utofauti ni huu hapa mwanamke wa miaka 35 - 45 lazima atakuwa amezaa na hivyo maungo yake ni lazima yatakuwa yametanuka kidogo na kukomaa tofauti na 20 - 34, wengi huwa bado wana mng'ao wa ubinti.
Kisaikolojia wanawake hawapendi kuwavulia nguo wanaume waliowazidi hususzni ambao bado hawajaanza maisha ya ndoa na kuzaa wakiamini kuwa bado hawana stahimilivu na upeo mdogo wa kufikiri hususani kwenye mapenzi. Hivyo mama wa makao 35-45 akitembea na mtoto wa 20 -30 tena ambae hana familia wengi huishia kunangwa na hao vijana kwa kuona kwa sababu bado hawajaona mengi na utoto mwingi.
Lakini kutembea na mtu aliyekuzidi umri kidogo sioni shida yoyote bora uwe umekomaa na kujua maumbile ya watu wazima ni tofauti kidogo kimuonekano na mabinti.
 
Haya mashangingi sana sana yanamaliza nguvu. maana kuliridhisha inataka moyo mkuu!

siyo kweli vitoto vidogo ndiyo vinamlaiza nguvu kwa sababu ni vigumu kusshiba haraka. Mtu mzima ni mwepesi na hapendi kukurukakara nyingi, game la kistaarabu ndiyo tija ya utu uzima bora mwisho ufikiwe.
 
Asikwambie mtu shuga mami ni soo ni taaamuuu atttiii ila ni aibu kuonekana naye hadharani ila gizani mwakeeee
 
kwani tofauti ni nini kati ya msichana mdogo na mama mkubwa....,

Ukishakuwa mature..., wewe ni mtu mzima na una-function kama mtu mzima
 
Kweli hizo ni hadith za uongo kama ule wa zamani eti umekaa harafu akaja mtu kusimama karibu yako anakunyonya damu.
 
Back
Top Bottom