Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,880
- 2,758
Kilevi ni kilevi tu - iwe imetengenezwa kiwandani ikapewa jina kama KONYAGI, TUSKER, HENKEN, VODKA ETC. na viwanda vya kienyeji ikaitwa GONGO, MNAZI, DENGELUA, ULANZI etc. ZOTE NI POMBE - EFFECT YAKE NI KULEWA NA KUHARIBU MWILI
majina yasikufariji - ila jiulize toka umekunywa umepata faida ipi?? umekunywa mapipa mangapi, umepoteza kiasi gani cha fedha? You will come to your senses sometimes - NI UBATILI MTUPU -