Eti konyagi!

nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana jf kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.

Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??

Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??

Ahsanteni

mi nashangaa, sijui ni kwa nini haiwekwi katika jokofu?
 
...nadhani inapunguza concentration ndio maana tunachelewa kububujika!! in many cases you dont even remember how it was in the morning!!
 
...nadhani inapunguza concentration ndio maana tunachelewa kububujika!! in many cases you dont even remember how it was in the morning!!

kama kweli basi inatisha....lengo ni kuenjoy sio kusahau
 
What about Red bull, Varuuu, Grants, Captain Morgan, Zappa, Teachers, and John Walker?Do they apply the same?
 
Kwa mabingwa wanyaji wa Konyagi kuweni makini,,,,Konyagi ya sasa imeshaingiliwa na matapeli. Tunalishwa GONGO kwa sana tu! Ni wapi uliona konyagi inaumiza kichwa, inakuacha na hangover! Mimi niliifuma moja ina hata sticker ya TBS eti Duty Free. Ukiangalia Konyagi original ni pure white ama tuseme iko clean kabisa ila hii ya kiporipori ina rangi chafu kidogo. Anzeni kuchunguza kabla ya kuzinya otherwise sasa wengi wetu tunakunywa GONGO!
 
...nadhani inapunguza concentration ndio maana tunachelewa kububujika!! in many cases you dont even remember how it was in the morning!!
..Your right MTM, generall, kinachotokea ni hali ya ulevi wa kupindukia unaomfanya mnywaji awe less sensitive na hivyo kuchelewa kufikia kilele. Jaribu kunywa kiasi kidogo tu cha Konyagi kama utaiona hii effect. Mara nyingi utapata effect hii kama umekunywa kiasi kikubwa cha KONYAGI. Wasaalam
 
kama kweli basi inatisha....lengo ni kuenjoy sio kusahau

Sadly, most of recreational intakes make us euphoric "at that moment only" kama ilivyo ganja, sigara, mapowders etc. even vitu vitumikavyo kwa extra pleasure huishia palepale na kesho unabaki na less to remember

The most important issue is to have sexual relationship na mtu mliyeshibana mia kwa mia kiasi kwamba huhitaju additives

Kazi tupu!
 
Haiongezi nguvu za kiume,ila huwa inakufanya uchelewe kufika mshindo,kama unakawaida ya kupinga bao baada ya dk 5 mechi ukinywa Konyangi utapiga bao baada ya dk 15 au zaidi ya hapo.hii ni kutokana na utafiti wangu mwenyewe.

100% sure!
ukitaka kufanya mauaji ya kutisha kwa mai waifu wako, chukua konyagi au kiroba then mix na bia kama safari, hapo miguu inakua imekufa ganzi!. hadi dk 45 :d
 
Vipi upande wa kina dada

kwa upande wa kinadada sijui kwa kweli maana mai waifu hatumii hii kitu kabisa.ila nikinywa mimi yeye ana enjoy zaidi maana atafika mshindo mara 3 ai 4 wakati mimi ndio natafuta cha kwanza ,eeh si unaona raha anayoipata mwenzako hapo? nadhani umepata jibu mpaka hapo.
 
Kilevi ni kilevi tu - iwe imetengenezwa kiwandani ikapewa jina kama KONYAGI, TUSKER, HENKEN, VODKA ETC. na viwanda vya kienyeji ikaitwa GONGO, MNAZI, DENGELUA, ULANZI etc. ZOTE NI POMBE - EFFECT YAKE NI KULEWA NA KUHARIBU MWILI

majina yasikufariji - ila jiulize toka umekunywa umepata faida ipi?? umekunywa mapipa mangapi, umepoteza kiasi gani cha fedha? You will come to your senses sometimes - NI UBATILI MTUPU -
 
Jamani personal feeling na kutokuwa na achivment wakati unakunywa beer zisiunganishwa na kutofanikiwa kwa mtu...na kusema kuwa unapoteza kwa kutumia mapato yako kwenye kinywa chenye kileo.....

Watu have been drinking since then and wengine wamefanikiwa through drinking....wachache walishidwa kujipanga na kushidwa kugawa mapato yao wasisingizie pombe.
 
Yeah...na mimi niltaka kusema hivyo hivyo lakini nikaogopa nisije ambiwa na Sasha naenda mbali...Lol

Usinifikirie vibaya Nyani ngabu.Ila kwa suala na konyagi inafanya nini kwa mwanamke hilo siwezi kujibu since sijawahi kunywa konyagi miye nakunywa wine cooler au menage a trois red wine.
 
Sasha mpenzi wa menage ......niliwahi kuiona ikimtoa kuku manyoya taratiibu!
 
Usinifikirie vibaya Nyani ngabu.Ila kwa suala na konyagi inafanya nini kwa mwanamke hilo siwezi kujibu since sijawahi kunywa konyagi miye nakunywa wine cooler au menage a trois red wine.
mashori bana yaani basi tu mie nikishaona shori wa namna hii namuweka katika category ya kicheche.....wanafanyaga wakina rachel temu sana.....
 
mashori bana yaani basi tu mie nikishaona shori wa namna hii namuweka katika category ya kicheche.....wanafanyaga wakina rachel temu sana.....

Huyo Rachel Temu amekufilisi sana nini na vinywaji vya aina hii?.Pole weeh tsk tsk tsk tsk tsk.
 
hahaaa... wacha ninyamaze kucheka manake huu ni ukweli ... vinywaji vikali (whiskies, nk) zinachelewesha... jihadhari ukinywa nyingi utakausha... afu hutakojoa kabisaa
Tofauti kati ya Bia na Konyagi
BIA INALETA HAMU wakati KONYAGI INAKUPELEKA MASAFA MAREFU.

Wanakamsemo kao kuwa "ukinywa bia haipandi kichwani,bali inashuka kwenye viuongo vya uzazi.
 
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.
Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??
Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??
Ahsanteni

.,.
Hebu fafanua zaidi!

wabongo bwana!!
 
Back
Top Bottom