Eti kama mvua

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo mwanaume anavyovuja jasho, mashuka yote yanalowana, inamkera sana especially wakiwa kwenye kifo cha mende. yale majasho yote yana mmwagikia yeye, sasa si unajua jinsi yalivyo na chumvi?

Tatizo sio jasho la kwapa ambalo utatumia deodorant, anatoka jasho mwili mzima(kuanzia kichwani mpaka miguuni)

na sasahivi wapo kwenye nchi ya baridi, inakuwaje wakirudi bongo? kwenye joto.
nimecheka mpaka basi.

sijawahi kukutana na mtu wa hivi, je humu jf wapo? tatizo ni nini?ugonjwa? au
 
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo mwanaume anavyovuja jasho, mashuka yote yanalowana, inamkera sana especially wakiwa kwenye kifo cha mende. yale majasho yote yana mmwagikia yeye, sasa si unajua jinsi yalivyo na chumvi?

na sasahivi wapo kwenye nchi ya baridi, inakuwaje wakirudi bongo? kwenye joto.
nimecheka mpaka basi.

sijawahi kukutana na mtu wa hivi, je humu jf wapo? tatizo ni nini?ugonjwa? au

Mzuanda umenifanya nicheke,
Kweli hii kesi ni ngumu kuamulia, ila kama mdada hayuko comfortable na jamaa basi achape lapa bado mapema...
 
Mwambie atumie deodorant zinakata majasho, hivi hata wakitumia AC?
Gaga babe,sweety,honey hahaha! just kiddin umesoma ile thread ya baby ? BACK TO THE TOPIC: deodorant hazisaidii mi nilikuwa na tatizo hilo mpenzi wangu akaniambia natoka jasho sana kwenye gemu nikaanza mazoezi na tatizo likaisha.
 
Duh!Hivi unapokuwa kwenye mahusiano ni kwanini kama kuna tatizo msisaidiane kulitatua?Hapo ndo ninapokosa ham ya kuanzisha mahusiano!Siku hizi watu ni fake sana!
 
Mzuanda umenifanya nicheke,
Kweli hii kesi ni ngumu kuamulia, ila kama mdada hayuko comfortable na jamaa basi achape lapa bado mapema...

hata mimi nimecheka mpaka basi, yaani kuna vituko huku duniani, imefikia kipindi ambacho jamaa akimuita kwa bed, demu anaanza kupiga chenga za hapa na pale, visingizio viiiiiiiiingiiii,ili mradi tu aepuke ile mvua ya majasho, jamaa alipoona hivyo akajua demu anamegwa nje, ukaanza ugomvi na demu ndio akapata sababu ya kuachana
 
Gaga babe,sweety,honey hahaha! just kiddin umesoma ile thread ya baby ? BACK TO THE TOPIC: deodorant hazisaidii mi nilikuwa na tatizo hilo mpenzi wangu akaniambia natoka jasho sana kwenye gemu nikaanza mazoezi na tatizo likaisha.
Haaaa hivi kumbe ni ugonjwa? na mazoezi yanasaidia kivipi? au ni tatizo kwa watu wenye weight kubwa? itabidi amwambie mjamaa aanze mazoezi japo wengine ni wagumu kukubali kwamba wana matatizo
 
This is very interesting! amwache jamaa kisa jasho? ana hakika yeye amekamilika kila idara? Jamaa hajaona weakness yoyote na kuamua kuivumilia?

This is a funnly and primitive way of solving problem. Kwa nini wasikae washauriane? Kama watu wangekuwa wanasolve matatizo in such a simple way, kuna couple hata moja ingekuwapo hado leo?
 
Haaaa hivi kumbe ni ugonjwa? na mazoezi yanasaidia kivipi? au ni tatizo kwa watu wenye weight kubwa? itabidi amwambie mjamaa aanze mazoezi japo wengine ni wagumu kukubali kwamba wana matatizo
Mi wala sikuwa kibonge lakini kweli kuna kipindi niliacha mazoezi kabisa ikatokea hali hiyo sio jasho tu hata moyo kwenda mbio ,ukifanya mazoezi ya ukweli unakuwa umetoka jasho jingi sana,sasa ukioga vizuri na kupumzika mkianza sarakasi nakuhakikishia hutoki hata tone na mapigo ya moyo pia yapo stable.
 
nafikiri alishamchoka kwahiyo akawa anatafuta sababu. nimejaribu kumshauri wakae waongee hata hanielewi. si unajua ukishachoka unatafuta ti sababu ili ukimbie?
 
nafikiri alishamchoka kwahiyo akawa anatafuta sababu. nimejaribu kumshauri wakae waongee hata hanielewi. si unajua ukishachoka unatafuta ti sababu ili ukimbie?
kweli kamchoka sidhani kama naweza mwacha mwanaume naempenda sababu analilowanisha na jasho
 
Nampongeza huyo dada, kapata sababu! Kwani ni nani kazaliwa mzima? Si amshauri waende hospitali akatibiwe au apewe ushauri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom