Eti kama mvua

hajui mapenzi huyo wenzie wanatamani japo wapate shat lake waskie hiyo harufu yy hataki majasho?mapenzi niuchafu so na jasho ni uchafu vilevile,putting my self into her shoes,ningeruhusu na kufurahia hilo jasho maana baada ya hiyo mechi tungeamia bafuni kupata maji kwenye bomba la mvua n guess wat?...........,mechi ingeanza upya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
duu i kali..sasa tufanyeje jaman...
kwan shemej ni chibonge?ayo majasho pia harufu ndiii?

usimwache bwana..mwambie wakae chn wazungumze...

Umenichekesha sana ati harufu ndiii umenikumbusha misemo ya long time.
 
Mi nadhani rafikiako hakumpenda huyo shemeji ki ukweli, navyojua ukiwa unampenda mtu wako utatafuta kila njia ili tu uwe nae. ila kama ukijiskia kuaona tofauti kidogo tu ujue hutakua happy so ni bora akubali hampendi na aendelee mambo mengine.
 
Kwanza nampongeza dada kwa uvumilivu wake, pili namshauri asimwache kwasababu ya tatizo lake la jasho
Kila mtu anamapungufu yake,na suala la kutokwa na jasho si kwamba kaka ametaka ila ndiyo ivyotena, kaeni chini mshauri aende hospitali na mshauri afanye mazoezi na awe msafi wa mwili wake mara kwa mara. Mazoezi ni mazuri sana na yanapunguza hiyo hali. Usimwache bse ilo ni tatizo dogo tu na kama utamkimbia eti kwa kutokwa na jasho utakuwa hujamsaidia na huna mapenzi ya dhati na mwenziyo.
jua kabisa Kitendo kile ni kazi nzito sana na ndiyo maana anatokwa na jasho sana,
"Jiwe halitoi maji" means ana afya njema thats Y anatokwa na jashoo
 
Nampongeza huyo dada, kapata sababu! Kwani ni nani kazaliwa mzima? Si amshauri waende hospitali akatibiwe au apewe ushauri?
huyo kapata bwana tu... Kwani ndio mara ya kwanza kutiana?
 
usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja
 
Hii kali
Kumbe wenye mahandaki hawafikishiki hivi hivi??
Ngoja aje Kloro
 
usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja

Duh! hii kali sasa!
 
Sidhani kama kumwacha ilikuwa ni busara. Naona wangejaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo badala ya kulikimbia. Ukisikia kupendana katika shida na raha ndo huko. Sijui kama ni ugonjwa au la ila ni vizuri angeenda hospitali wataalam wangeweza kujua tatizo nini na kumpa ufumbuzi.
 
Inaonyesha huyo dada alikuwa hampendi huyo jamaa na alikuwa anatafuta sababu ya kuachana. Mshauri huyo jamaa awaone madaktari huenda akapata tiba itakayomponya tatizo lake.
 
usikute huyo demu anaböngè la handaki yaani handaki la kufa mtu kwa hiyo jamaa anahangaika sana mpaka anatoka mijasho ili amfikishe mlimani na huyo dada atakama atamwacha bado atakutana na mwingine kama huyo coz tatizo nahisi liko kwa huyo dada asikimbilie kumhukumu kaka wa watu usikute kaka wa watu kamsitahi alafu yeye ndo anajifanya mjanja
Dah!! Mahandaki yanakuwaje?
 
mhh wadada wengine wazimu,kwani hilo jasho lanuka au....hamna mapenzi ya dhati hapo ni yale ya ulaya ya kusindikiza upweke,magiza yakuanza saa nane mchana,mabarafu na mabaridi yakukufanya ushinde ndani au kuna karatasi lasakwa hapo.
 
Huyo shemejio atakuwa ana matatizo ya pressure. Aende akamwone daktari. Ila sasa sijui nani atamfikishia ujumbe huu
 
Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo mwanaume anavyovuja jasho, mashuka yote yanalowana, inamkera sana especially wakiwa kwenye kifo cha mende. yale majasho yote yana mmwagikia yeye, sasa si unajua jinsi yalivyo na chumvi?

Tatizo sio jasho la kwapa ambalo utatumia deodorant, anatoka jasho mwili mzima(kuanzia kichwani mpaka miguuni)

na sasahivi wapo kwenye nchi ya baridi, inakuwaje wakirudi bongo? kwenye joto.
nimecheka mpaka basi.

sijawahi kukutana na mtu wa hivi, je humu jf wapo? tatizo ni nini?ugonjwa? au

Huyu hajatandikwa bakora sawasawa ! unazani angechapwa sawasawa hata hilo jasho angeliona?, kuna siku nilimuinamia mdada wa watu na mimeno yangu imejaa ugoro! kulaleki! mdada badala ya kishindo kuwa kikali ugoro aliukonfyuzi na goldi! Namskia ananung'unika " khaaaa! honey kumbe una meno ya goldi?".
 
hahahahahhaahahh umeonaee ndo maana viwete wanabebwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom